God Fearing Person
JF-Expert Member
- Apr 5, 2020
- 767
- 2,570
Mimi naona wapo sahihi na wewe Mwambie Mama akupe udc uachane na uchawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kitaaluma Shaka siyo Mwalimu
Kumbe CCM imeweka makada kwenye Chama cha Walimu....!?Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi walioamua kuidhalilisha Taasisi nyeti ya Urais Tanzania.
Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwako mteuliwa pamoja na Ukoo au familia yako.
Hebu fikiri nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa then unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Shaka Hamdu Shaka alikuwa ni boss wa maRCs,maDCs,Mawaziri wote Kama kiongozi wa Chama mkubwa bado baada ya kuondoshwa na kuteuliwa kuwa DC Kama hao viongozi wa CWT Jamaa hakuhoji Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa ukakataa.
View attachment 2502540
Wewe unaoushahidi wa unayoyasema?Ebu tukuulize ww mtoa post, kweli vijana wa CCM wanala kujifunza kwa Shaka? Kweli? Au ww ni Shaka unajipigia promo humu, is there anything CCM youth can learn from Shaka? Do you know this guy had a big big corruption scandal ya mashamba ya UVCCM Iringa na aliuza back in the days. Na Moro pia uchaguzi wa Meya aliacha corruption scandal.
Unasema vijana wa CCM wajifunze kwa Shaka? Stop this worst propaganda za kutaka kuonyesha Shaka is good, of which he is not at all, na angekuwa mzuri, Mh. Rais Samia angempeleka nafasi ya juu kabisa, ila kampa demotion kubwa hiyo, sbb kuna kitu lazima kaharibu, so acha kuleta propaganda za uongo uongo humu, watu wote sio wajinga humu, nothing, zero, we can learn from Shaka, period.
Ni Mwl Shaka,Kitaaluma Shaka siyo Mwalimu?
Hao wamekataa uteuzi kwasababu ya maslahi yao binafsi na wala si kwamba wanatetea taaluma yao!! Kama wangekuwa wanaipenda kweli taaluma yao ya uwalimu wasingekimbilia kugombania vyeo vya kiuongozi huko CWT, wangebaki kufundisha watoto darasani. Yaani kwa kifupi huo ni utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu kupangiwa kufanya kazi na boss wako mkuu na kumgomea, halafu bado unahitaji ufanye kazi nyingine ambayo boss ndo yuleyule. Mimi ndo ningekuwa boss nisingekubali hiyo dharauWewe bwana siyo kila mtu anaongozwa na njaa na kutaka vitu asivyovitolea jasho.
Taaluma ya mtu iheshimike mtu anajisikia secure kuwa mwalimu kuwatoa watoto ujinga aachwe ameridhika na hali yake ujinga wa kwa sababu ni rais unapangia watu kazi unavyotaka uachwe na hii ndo hufikia kusababisha utendaji mbovu kwa sababu mtu ni mwalimu amezoea kusimamia watoto leo umtake akagombane na watu wazima wenzake hiyo haitakiwi.
Na waoga piaTunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu
Waoga kwaajili ya nini?Na waoga pia
Utaratibu si hoja.Utaratibu sio huo
Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi walioamua kuidhalilisha Taasisi nyeti ya Urais Tanzania.
Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwako mteuliwa pamoja na Ukoo au familia yako.
Hebu fikiri nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa then unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Shaka Hamdu Shaka alikuwa ni boss wa maRCs,maDCs,Mawaziri wote Kama kiongozi wa Chama mkubwa bado baada ya kuondoshwa na kuteuliwa kuwa DC Kama hao viongozi wa CWT Jamaa hakuhoji Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa ukakataa.
View attachment 2502540
Wengi wakiarifiwa wameshindwa kutunza Siri Ndio sababu za kutowataarifu, wengine wanafanya na sherehe kabisaUtaratibu si hoja.
Hata Afrika Kusini utaratibu ulikuwa kuwabagua weusi, lakini ubaguzi huo kuwa utaratibu hakukufanya utaratibu huo kuwa wa sawa, wa haki wala wa mantiki.
Kumteua mtu bila kumuarifu asikie uteuzi redioni hakuna haki, hakuna mantiki.
Sasa kumekuchaRais mwenyewe kachemka kuteua watu kabla ya kuwasiliana nao.
Serikali inabumba na kugangaganga.
Unajua Rais ni Taasisi?Sasa kumekucha
Ndo mtajua alikurupuka au vp
Dawa ya pale CWT pelekeni CAG ili pawe mtafutano maana wale mbuzi wanatafuna sana fedha za walimu,na ndio maana kwa mfano pale Sumbawanga wamehonga Mkurugenzi na Afisa Utumishi ili waendeleze zengwe kwa walimu wanaojitoa CWT na kwanda CHAKUHAWATA.Serikali ya Samia inapenda kuchezewa kwa sababu imekumbatia wajinga wengi hilo ndio tatizo kubwa kuliko.Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi walioamua kuidhalilisha Taasisi nyeti ya Urais Tanzania.
Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwako mteuliwa pamoja na Ukoo au familia yako.
Hebu fikiri nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa then unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Shaka Hamdu Shaka alikuwa ni boss wa maRCs,maDCs,Mawaziri wote Kama kiongozi wa Chama mkubwa bado baada ya kuondoshwa na kuteuliwa kuwa DC Kama hao viongozi wa CWT Jamaa hakuhoji Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa ukakataa.
View attachment 2502540
Ukishakuwa na watu ambao wakiarifiwa hawatunzi siri, tatizo lako si taarifa tatizo lako ni hao watu.Wengi wakiarifiwa wameshindwa kutunza Siri Ndio sababu za kutowataarifu, wengine wanafanya na sherehe kabisa
Wapewe hao wanaofanya sherehe. Kwani kuna shida gani?Wengi wakiarifiwa wameshindwa kutunza Siri Ndio sababu za kutowataarifu, wengine wanafanya na sherehe kabisa
Tatizo la msingi si la rais.Sasa kumekucha
Ndo mtajua alikurupuka au vp
Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yako.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, MA-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
uchawa unakusumbua. Unadhani kila mtu ni chawa mbupavu sana nyinyi mi UVCCMShortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yako.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,

Shortly