CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #81
Fact, Ukibahatika kuteuliwa nendaNi kweli Rais ni Taasisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fact, Ukibahatika kuteuliwa nendaNi kweli Rais ni Taasisi
Usiwalaumu waliosusa teuzi. Mlaumu mteuzi.Shortly,
Tumesikitisha sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais hufanya UTEUZI kwa mtu yeyote anayedhani anaouwezo wa kumsaidia katika kutekeleza majukumu yake ya siku kwa siku bila kumtaarifu.
Uteuzi ni ishara ya imani ya kiwango cha juu toka kwa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuja kwa mteuliwa ikiwa ni pamoja na Ukoo au familia yake.
Hebu fikiri hii, Nchi yenye watu takribani 62M Wewe unateuliwa kisha unamvimbia aliyekupatia hiyo heshima, hakika hili ni jambo baya huenda kuliko Ubaya wenyewe.
Hebu Vijana wa Tanzania bila kujali Itikadi zetu za Kisiasa & dini tujifunze kitu toka kwa aliyekuwa Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi wa Chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Shaka Hamdu Shaka.
Pamoja na kwamba Mhe Shaka Hamdu Shaka ambae Sasa ni mkuu wa Wilaya ya Kilosa alikuwa ni boss wa ma-RCs, ma-DCs, ma-RAS, Mawaziri wote akihudumu kama kiongozi wa ngazi ya juu wa Chama,
Leo sote tumashahidi baada tu ya kuondoshwa kwenye nafasi hiyo na kuteuliwa kuwa DC Kama ilivyo kwa viongozi hao waandamizi wa CWT Jamaa hakuhoji, hakususa Wala kukunja sura bali alikuwa ndio DC wakwanza kula kiapo miongoni mwa ma -DC wote walioteuliwa katika batch ile.
Tunahitaji kuwa na Taifa lenye vijana wenye nidhamu ya Uongozi na viongozi aina ya akina Shaka Hamdu hasa kwa kulinda Mila na Desturi zetu kama Watanzania kwani ni mbaya kutumwa na mkubwa hata kama hana cheo ukakataa.
View attachment 2502540
Shida hapa ni Utii mkuuYaani mtu aache ubosi CWT akawe mkuu wa wilaya mkoa kama SIMIYU huko Gamboshi akalazwe kwenye makaburi? Hebu kuweni serious!
Sahihi kabisa,Mi nachokijua hakuna mtu wa kushindana na mamlaka ya uteuzi yaani President Office never and never hao watavuna walichokipanda
Sawa SawaHata Mimi niliamini kabisa Shaka angegomea U-DC hawa CWT huenda kuna jambo wanaficha hapo ofisini wanaogopa akiondolewa litabumbuluka
Hapa insue ni UTIIYaani mtu aache ubosi CWT akawe mkuu wa wilaya mkoa kama SIMIYU huko Gamboshi akalazwe kwenye makaburi? Hebu kuweni serious!
Nashauri huo UDC apewe CM 1774858Za chini chini ni kwamba rais alishapata ABC Zote kuhusu madudu pale CWT. Kwamba mtu na katibu wake hawaelewani pia taasisi Ina perform chini ya kiwango. Akaona awateue kuwa ma DC ili ku solve ile gap lakini wakakaidi na kwenda kula upepo Tanga😀😀
Pia fununu kwamba salary pale cwt ni 7.8m wakati DC ni around 3m Sasa ndo kinawatoa roho.
Kuna hati hati wakakosa vyote baada ya kumparua mama. Mmoja kapewa wiki Moja aripoti bukoba uko.
Napokea mkuu World lightNashauri huo UDC apewe CM 1774858
Safi,Nashauri huo UDC apewe CM 1774858
Huenda kuna UkweliHao ni CWT Ila ni Machadema yatakuwa ndio maana Chama cha walimu hakitulii
AmenNashauri huo UDC apewe CM 1774858
Fact Jamaa yuko makini sanaShaka ni jembe Sana
Shaka ni Kama Mzee KarumeShortly,
Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,