CWT ni Genge la Matapeli wanaokula kwa Mgongo wa Walimu

Kada ya kipumbavu dunia nzima n ualimu kwa Tanzania. M nainjoi kuwaona hivyo hao washenzi
Chuki hii dhidi ya hawa mashujaa wetu wanaotuandalia kizazi kijacho huku wakidharauliwa na kutukanwa hivi inatokana na nini hasa?

Sijawahi kuona ko kote kule duniani ambako nimewahi kufika walimu wakichukiwa na kudharaulika maana kimsingi wao ndiyo wameshikilia uhai wa taifa lo lote lile.

Kwa nini mnawachukia walimu kiasi hiki?

 
Ndiyo maana nimeandika kwa Uchungu mkuu!.

Nafanya mpango aachane na hii kazi inayoitwa ya LAANA
Acha kujitia moyo. Mtaani kunahitaji watu wajanja na wapambanaji. Na siyo watu wa aina yako ambao mnalalamikia michango ambayo hamjalazimishwa kutoa. Mnatishiwa nyau, na nyinyi mnaogopa!

Acheni kwanza uoga usio na kichwa wala miguu. Huo mchango hata usipotoa, hutafanywa chochote.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah.
 
Hata mie naumia walimu wakisimangwaa, ila sina namna tyuuh, aaaah
 
Yaan nilichogundua...akizungukwq na wanafunzi wao...wanahis prestige sana...yaan wanaona wao ndio wao...wakija kwenye makaz yet kama wazaz tunawaonea huruma...yaan wamepumbazwa kama wafuasi wa zumaradi...,
 
Tatizo lenu amna umoja hivi mkiamua Tanzania nzima amlipi hyo pesa mnagoma hivi mtafutwa kazi nyote au mtahamishiwa vijijini nyote? amueni ninyi vitu vingine sio lazima mbaka rais aseme mnamchosha
 
Watagoma kulipa vip wakati hela inakatwa automatic kwenye mshahara

Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kwa ushahidi wa barua hii ndugu walimu wanampelekea mkuu wa shule hyo pesa yeye ndio anaratibu hlo zoezi then kwa pamoja baada ya makusanyo wataingiza hzo pesa kwa hzo account number walizopewa kwahiyo hapo awakatwi automatically kwenye mishahara yao bali wanapeleka manually kwa mkuu wao wa shule so hapo wanaweza kugoma tu Tanzania nzima waache uoga
 

Attachments

  • IMG_20230326_171821.jpg
    56.3 KB · Views: 8
Hii nchi ngumu sana
 
Barua yenyewe sasa tungeiona Ina maneno gani pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…