CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

Vyama vingi vya wafanyakazi vina shida siyo CWT tuu. Binafsi sichangii chama cha wafanyakazi kwsbb hyo. Naona viongozi wengi wanajali matumbo yao.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unaongea usilojua. Kama kuna Kada ambayo enrollment yake ipo strict ni walimu. Fuatilia sifa za kujiunga kila Kozi kwa vyuo vya umma unavyojua, kuanzia Certificate mpaka Shahada ya Uzamivu, ili upate kujifunza.

Wakati kujiunga Certificate ya ualimu tena course miaka 2, sifa ilikuwa Div. IV mwisho point 28 ( warau D 7), vyuo vya serikali ilikuwa Div.IV pint 26. Sasa Angalia Kada zingine sifa mpaka sifa ni warau D Mmbili ( Walimu wanafuta kwanza ngazi hii)!!
 
Sio kweli....!Walimu wapo waliofaulu nenda DUCE utawakuta....

Kuna Walimu wanalipwa hela nyingi kuliko unavyodhania

Nilichosoma kupitia wewe ni kuwa una chuki na Walimu....kuna kitu umekijenga akilini mwako dhidi ya walimu
 
Sasa mbona hiyo kada haibadiliki, hata kudai haki zao hawawezi, wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
 
Umekosa busara na hekima hadi ulipo hapo hao unaowatusi ndio wamekusaidia
 
Acha kuishi kwa kukariri kuna watu ni walimu na tuna matokeo mazuri tu ya four na six....!
 
Sio kweli....!Walimu wapo waliofaulu nenda DUCE utawakuta....

Kuna Walimu wanalipwa hela nyingi kuliko unavyodhania

Nilichosoma kupitia wewe ni kuwa una chuki na Walimu....kuna kitu umekijenga akilini mwako dhidi ya walimu
Sasa mbona hiyo kada haibadiliki,hata kudai haki zao hawawezi,wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Unafiki,shobo,kujipendekeza na kutengana,kugombana wao kwa wao,na kila mtu kujijua yeye na tumbo lake ndo tatizo linalowakabili....

Ile kaulimbiu yao ya sijui solidarity sijui nn uko mbele Kama wangeliifanya kwa vitendo wangefika mbali....
 
Ni kutokujiamini tu,hii ni kada ambayo kama wangejiami ni very potential.
Mioyoni mwao ni kama vile wana hatia,wanaogopa kuiudhi serikali kana kwamba watafukuzwa kazi.
 
We ng'ombe, jeshini mnaenda kwa sifa gani? Huko nursing na maabara je? Community development je? Sheria mnaendaje? Kama uliachwa au kukataliwa uchumba na mwalimu usilete chuki zako za ziada kwa walimu.

Kote huko mnaenda na D4 tu wakati ualimu huwezi kwenda hata kwa rushwa.
 
Sasa mbona hiyo kada haibadiliki,hata kudai haki zao hawawezi,wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Idara gani nchi hii iliwahi kudai na kupata hizo haki? Kama una akili timamu Rais Mwinyi alienda kuangalia mpira wakati madaktari Mhimbili wamegoma. Na hata baada ya hapo kilichoendelea unakijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…