Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Akishakufa ndio ataamua astaafu au aendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi Mrema atastaafu lini ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akishakufa ndio ataamua astaafu au aendelee[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Hivi Mrema atastaafu lini ?
Hawa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) sijui wamekumbwa na nini, mara nyingi sare zao siyo 'unique' kabisa. Je, hawana watu wabunifu wa kuja na sare zenye 'akili'?
View attachment 1754977View attachment 1754978
Ni kwa sababu wanachukua sehemu kubwa ya idadi ya watumishi wote wa Serikali nchini. Fuatilia Maadhimisho ya Mei Mosi mwaka huu, then utapata jibu la swali lako kwa uhakika zaidi.Hivi mai mosi ni kwa ajili ya walimu tu? maana nawaona ndyo wanahisi kama wao ni watumishi pekee nchi hii.
Reasoning yako ni takataka. Kuna walimu wengi wenye BAED, waliopata Division 1 Form 4&6.I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Walimu kama walimu inawezekana ni kweli they are highly discplined ndo maana hawathubutu hata kudai haki zao.Ni kada ambayo they are highly disciplined ukiachana na wanajeshi ,,kila hoja hujibiwa kwa hoja,, ubovu ni kwamba hao unaowapelekea hoja hiyo hawajali,, usije kuropoka eti hawajiamin
Ndo maana umesema "enzi zenu" jua kitu kimoja hii sio enzi zenu,, by the way sio bongo tuu hata USA wanalipwa kidogo comparing na watu wa kada zingine ambao wamesoma the same duration na hao wa ualimuWalimu kama walimu inawezekana ni kweli they are highly discplined ndo maana hawathubutu hata kudai haki zao.
By the way hakuna kitu unaweza kunifundiisha kuhusu walimu Wa Tanzania hii,enzi zetu ualimu na upolice ilikuwa ndo last selection kwa ambao hawajafanya vizuri darasani.
Sa hivi imekuwa dili sababu population na ajira imekuwa ngumu imekuwa makimbilio.
Nakaribisha povu.
Asingekuwa mwl leo hii usingeweza kuandika hvo pumba zako hzoI have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Umeandika kwa hisia zaidi kuliko ukweli. Labda walimu wa astashahada (cerificate), wale wa shule za msingi! Tena ni wale wa zamani kabisa.I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Chama cha Wapambe Tanzania!CWT ndio nini?
Ila uko USA, ulaya mwalimu anapewa heshima sana na wanlipwa vizuri sana,huku kwetu dah mnataabika sana CWT yenu haiko kwa ajili ya maslahi yenu iko kwa ajili ya maslahi ya ccm,has a kipindi cha kusimamia uchaguzi.Ndo maana umesema "enzi zenu" jua kitu kimoja hii sio enzi zenu,, by the way sio bongo tuu hata USA wanalipwa kidogo comparing na watu wa kada zingine ambao wamesoma the same duration na hao wa ualimu
Higher learning institutions hakuna walimu, wana jina lao wanaitwa, Walimu sekondari kuja chiniLabda walimu wa astashahada (cerificate),
na kweli lkn haiondoi ukweli kuwa most of them are failures academically. wewe ulipata div gani form 4, najua wewe ni mwalimuhvo pumba zako hzo
Umenielewa lakini? Nimemaanisha hiyo CWT inajumuisha walimu wote wa shule za Msingi na Sekondari nchini! Hivyo unaposema wengi wao ni failures, basi ni vyema ukamaanisha wale wa zamani wa astashahada (cheti) almaarufu kama grade A! Tena hata hao bado hawakufeli! Maana wengi waio walipata Division four!Higher learning institutions hakuna walimu, wana jina lao wanaitwa, Walimu sekondari kuja chini
Yote hayo ni sawa kabisa. Wanajiendeleza sana na kuwa juu kabisa. Kuna Maprof wengi wa zamani walimaliza darasa la nane, lkn wakajiendeleza na kuwa watu wenye weledi mkbwa kabisa. Point yangu ni kuwa walianza wakiwa failures. Hakuna (I stand to be corrected) mtoto anayepata Div 1 iwe form 4/6 akaenda ualimu. Wanakwenda baada ya kutoa cream ya form five, Universities wanaobaki wanakwenda ualimu. Ndiyo argument yangu.Na hao kwa sasa wamepungua sana kwa sababu wengi wao wamejiendeleza! Ukija Sekondari, walimu wote wana Stashahada (Diploma) na Shahada (Bachelor Digree)! Lakini pia wapo ambao wamejiendeleza zaidi na kumiliki Postgraduate na Masters Degrees!
Sare zao zilizopita zilikua kama wafanyakazi wa kiwanda cha Rungu na dawa tatu...yani hawako serious kabisa hawa ni washamba sana.Hawa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) sijui wamekumbwa na nini, mara nyingi sare zao siyo 'unique' kabisa. Je, hawana watu wabunifu wa kuja na sare zenye 'akili'?
View attachment 1754977View attachment 1754978
Bado hauko sahihi mheshimiwa! Kama ulikua hujui ni hivi, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linamtambua Mtahiniwa aliyepta daraja sufuri pekee kama mtu aliyefeli.Yote hayo ni sawa kabisa. Wanajiendeleza sana na kuwa juu kabisa. Kuna Maprof wengi wa zamani walimaliza darasa la nane, lkn wakajiendeleza na kuwa watu wenye weledi mkbwa kabisa. Point yangu ni kuwa walianza wakiwa failures. Hakuna (I stand to be corrected) mtoto anayepata Div 1 iwe form 4/6 akaenda ualimu. Wanakwenda baada ya kutoa cream ya form five, Universities wanaobaki wanakwenda ualimu. Ndiyo argument yangu.
Nakubaliana nawewe kwa yote, LAKINI ishu yangu ni kuwa kwanini Div1&2 na pengine na Div 3 hawaendi ualimu? Why?Bado hauko sahihi mheshimiwa! Kama ulikua hujui ni hivi, Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) linamtambua Mtahiniwa aliyepta daraja sufuri pekee kama mtu aliyefeli.
Sasa nakuuliza hivi, ulishawahi kumuona au hata kusikia tu kuna mwalimu anafundisha ngazi yoyote ile akiwa amefeli kwa kiwango hicho daraja sufuri?
By the way, unafahamu sifa za kujiunga na fani nyingine katika nchi yetu? Mfano fani ya uuguzi kwa ngazi ya cheti, upolisi, jeshi, na nyinginezo nyingi tu? Wengi wanaangukia kwenye hiyo division four kama hao walimu tena ni wale wa ngazi ya cheti pekee!
Mbona hao huwaiti failures? Wewe ni walimu tu!!!
Nchi ambazo waalimu wake hawalalamiki kuhusu mishahara hazizidi 10,, na hao waliweka elimu kipaumbele ila wengine wote hata huyo USA unaemsemea mwalimu analipwa kidogo comparing na unavyofikiriIla uko USA, ulaya mwalimu anapewa heshima sana na wanlipwa vizuri sana,huku kwetu dah mnataabika sana CWT yenu haiko kwa ajili ya maslahi yenu iko kwa ajili ya maslahi ya ccm,has a kipindi cha kusimamia uchaguzi.
Mnakujaga kufaidika baada ya kustaafu mnapigwa hela ndefu sana ya mafao,na bado mnakuja kuwa mtaji Wa wale jamaa Wa hela tuma kwenye no hii(nimechomekea).
Ujerumani mwalimu ndo analipwa hela ndefu kuliko hata mbunge nyie huku endeleeni kuwa discplined.