CWT wameishiwa ubunifu, Mei Mosi kuvaa sare inayoendana na ya TLP

I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......

5 Nitaongezea baadaye
Acha kukurupuka wewe.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......

5 Nitaongezea baadaye
Huu nao ni uharo tu.
Nilichojifunza kwako,huna unachokijua kuhusu utumishi wa umma&miundo yake kitaaluma&kimaslahi.
 
Sasa mbona hiyo kada haibadiliki, hata kudai haki zao hawawezi, wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Hawa jamaa shida haijaanzia kazini, nafikiri shida imeanzia vyuoni!

namna wanavyoendesha maisha yao huko vyuoni ni namna ya kushangaza sana.
 
I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......

5 Nitaongezea baadaye
Unaongea Kama unahara eti, Nenda kaulize Duce Kama kuna mtu anatia maguu na div2, ukipewa ofa basi ni 2 ya 10.sasa hizo data zako sijui unazitoa wapi?
 
Hayo ni ma tshirt ya bei rahisi..kama yeboyebo vile
 
Angalia jinsi unavyokosolewa na wadau.
Wadau walimu wanajitetea, what do you expect? I expected this response. Nani kakwambia niko hapa kusifiwa,ndiyo faida ya anonymity, unasema ukweli wako toka rohoni mradi usiseme uongo au kutukana
 
Back
Top Bottom