Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Acha kukurupuka wewe.I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Wanauroga Upinzani
Nambie kada gani walioweza kudai haki zaoSasa mbona hiyo kada haibadiliki, hata kudai haki zao hawawezi, wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Yupo anakula machalari badoKwani bado yupo hai tu?
Wachimbaji Wa madini.Nambie kada gani walioweza kudai haki zao
ni wengiHivi Mei mosi ni kwa ajili ya walimu tu? maana nawaona ndiyo wanahisi kama wao ni watumishi pekee nchi hii.
😂 😂 😂Kwani bado yupo hai tu?
Mimi siyo Chawa
Huu nao ni uharo tu.I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Hawa jamaa shida haijaanzia kazini, nafikiri shida imeanzia vyuoni!Sasa mbona hiyo kada haibadiliki, hata kudai haki zao hawawezi, wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Nadhani sababu wako wengi sana!Hivi Mei mosi ni kwa ajili ya walimu tu? maana nawaona ndiyo wanahisi kama wao ni watumishi pekee nchi hii.
Unaongea Kama unahara eti, Nenda kaulize Duce Kama kuna mtu anatia maguu na div2, ukipewa ofa basi ni 2 ya 10.sasa hizo data zako sijui unazitoa wapi?I have reasons
1. Walio wengi walimu ni "failures" academically, sijawahi kumuona mtu wa Div 1 amemaliza form 4/6 kaenda ualimu, hivyo kwao kuwa pale ni favour, hawawezi kupigania haki zao maana wanajua hata kuwa kwenye ualimu ni favour
2. Kwa mtu kama huyo kupigana haki zake ni ngumu maana anajua mapungufu yake.
3. Mishahara yao ni midogo, hivyo mtu hana muda wa kutetea haki zao , anaona afdhali atumie muda kujiongezea kipato
4. Wengi wako vijijin ambako wanachofanya ni ulevi na "kuoa"........ wamekuwa damped kuozea huko.......
5 Nitaongezea baadaye
Kwani kada ya mainjinia na mafaktari tofauti yao Nini? Mbona wote vyama vya ni zero kabisa?Sasa mbona hiyo kada haibadiliki, hata kudai haki zao hawawezi, wanachoweza wao ni saidia ccm ishinde.
Hao unaosema wa hivyo,ndio wamekufanya mpaka leo unajua kuandika humu na kuwadharau,baada ya kukufundisha.kweli mswahili ngozi ya goti,hata utanyeje haibadiliki rangi.Kama kuna watu wa hovyo ni waalimu,
najua wewe ni mwalimu lazima utukane.Unaongea Kama unahara et
Ndio uhovyo wa waalimu, sasa kwanini umetukana? Ndio uhovyo ninao usemaHuu nao ni uharo tu.
Umeona kuna tusi hapo kiongozi?Ndio uhovyo wa waalimu, sasa kwanini umetukana? Ndio uhovyo ninao usema
Nakubaliana na wewe 100%.Hawa jamaa shida haijaanzia kazini, nafikiri shida imeanzia vyuoni!
namna wanavyoendesha maisha yao huko vyuoni ni namna ya kushangaza sana.
Wadau walimu wanajitetea, what do you expect? I expected this response. Nani kakwambia niko hapa kusifiwa,ndiyo faida ya anonymity, unasema ukweli wako toka rohoni mradi usiseme uongo au kutukanaAngalia jinsi unavyokosolewa na wadau.