G-Funk
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 2,398
- 5,554
Amna subaru yenye cvt labda zile subaru kigoda imrezaSubaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amna subaru yenye cvt labda zile subaru kigoda imrezaSubaru gani ziko na CVT mbona zinabugia sana mafuta?
Subaru iwe turbo au bila turbo zote zinabugia. Wanaozielewa huchagua non turbo sababu zina kanafuu kidogo ukilinganisha na zile turbo.Subaru impreza, forester, legacy. Nadhani za Turbo ndo zinakula mafuta ambayo ni kawaida kwa magari ya turbo ukiacha haya ya miaka ya hivi karibuni
Shoda ndio nini tena mkulungwa mbona unaleta maneno chengeshi?!Labda hauko informed tu, gari nyingi sana siku hizi zinatumia CVT, especially Subaru zote, toyota nyingi tu kama vanguard etc. point yangu ni kwamba ni hili ni suala la ilivyokuwa engineered kwenye specific models kama hizo za nissan. Na sidhani kama Dualis ina transmission yenye shoda. CVT ina kero zake lakini ni smooth sana kuendesha kwa natumizi ya kila siku (ya safari fupi fupi) na zinakupa ufanisi zaidi kwenye mafuta.
Bei gani ulinunua mkulungwa?!Chukua cx 5 njnayo hii gari cjawahi kuijutia hata kidogo ....tena ukipata dizel ni bonge la gari jmetuliq sana haijui milima fuel consuption ya kibabe SANA
Acha dharau basi hiyo Dualis umeitaja vipi hapo?! [emoji23][emoji23][emoji23]Cx 5 ndo gari kwanza ni modern gari la kwanza imetoka 2012
Ifuel nasikia ni kunusa
Petrol ndo recommandable hasa za chini ya 2015
Spea zake zipo za kutosha
Dualis na Cx5 ni sawa na mbingu na ardhi
Na hapo umetaja yenye unafuu wa beiNdo ujipange mfukoni CIF USD 7000
TrA 11M
Mmmmmmhmn bro hapo mbona kama umetupa matumaini makubwa sana18 kwa lita 1 cjawahi kujutia
Dualis yako inabagazwaAcha dharau basi hiyo Dualis umeitaja vipi hapo?! [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi ndinga nazipenda sana , mwaka huu nisponunua CX5 baba nashika mjegeje
Hamna hiki kitu hata IST ni 15km per liter..
Subaru iwe turbo au bila turbo zote zinabugia. Wanaozielewa huchagua non turbo sababu zina kanafuu kidogo ukilinganisha na zile turbo.
Zipo nyingi tu acha ubishi...Siku hizi karibia kampuni zote za kijapani ni mwendo wa cvtAmna subaru yenye cvt labda zile subaru kigoda imreza
Unalipia gharama ya gari kuwa stable barabarani. Zinakula mafuta kwa sababu ya All wheel drive system ambayo ni full time. Lakini nin turbo zina nafuu sana kwenye mafuta.
Assanteni wadau kwa ushauri naona niende na CX 5 kutokana na maoni mengi ya wadau
Now zimeshuka bei kidogo mimi nmetoka kuichukua jana i hope kesho kama nitawahi mapema naweza ifanyia usajili kabisa au nikichelewa j4 hyo.
Mkuu kluger na forester xt ipi ina comfy nzuri?CX5 ina sporty feel na ni reliable tu na itakupa raha zaidi kuendesha. Kuna reviews wanadai model za nyuma ya 2015 za petrol ni reliable zaidi ya diesel. Kwa bongo spare itakuwa gharama kidogo
Kluger ni reliable, mafundi ni wengi ila kwenye kuendesha itakuwa ni kawaida tu, sio tamu kama cx-5
Kati ya hizi tatu nisingeshauri Dualis, I believe itakuwa less reliable of the bunch