Cx 5 Kluger au Dualis, ushauri

Cx 5 Kluger au Dualis, ushauri

Subaru impreza, forester, legacy. Nadhani za Turbo ndo zinakula mafuta ambayo ni kawaida kwa magari ya turbo ukiacha haya ya miaka ya hivi karibuni
Subaru iwe turbo au bila turbo zote zinabugia. Wanaozielewa huchagua non turbo sababu zina kanafuu kidogo ukilinganisha na zile turbo.
 
Labda hauko informed tu, gari nyingi sana siku hizi zinatumia CVT, especially Subaru zote, toyota nyingi tu kama vanguard etc. point yangu ni kwamba ni hili ni suala la ilivyokuwa engineered kwenye specific models kama hizo za nissan. Na sidhani kama Dualis ina transmission yenye shoda. CVT ina kero zake lakini ni smooth sana kuendesha kwa natumizi ya kila siku (ya safari fupi fupi) na zinakupa ufanisi zaidi kwenye mafuta.
Shoda ndio nini tena mkulungwa mbona unaleta maneno chengeshi?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cx 5 ndo gari kwanza ni modern gari la kwanza imetoka 2012
Ifuel nasikia ni kunusa
Petrol ndo recommandable hasa za chini ya 2015
Spea zake zipo za kutosha
Dualis na Cx5 ni sawa na mbingu na ardhi
Acha dharau basi hiyo Dualis umeitaja vipi hapo?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amna subaru yenye cvt labda zile subaru kigoda imreza
Hizi hapa
Screenshot_20220905_181146.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subaru iwe turbo au bila turbo zote zinabugia. Wanaozielewa huchagua non turbo sababu zina kanafuu kidogo ukilinganisha na zile turbo.

Unalipia gharama ya gari kuwa stable barabarani. Zinakula mafuta kwa sababu ya All wheel drive system ambayo ni full time. Lakini nin turbo zina nafuu sana kwenye mafuta.
 
Kweli.
Mzee
Unalipia gharama ya gari kuwa stable barabarani. Zinakula mafuta kwa sababu ya All wheel drive system ambayo ni full time. Lakini nin turbo zina nafuu sana kwenye mafuta.
 
Bei gani ulinunua mkulungwa?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Now zimeshuka bei kidogo mimi nmetoka kuichukua jana i hope kesho kama nitawahi mapema naweza ifanyia usajili kabisa au nikichelewa j4 hyo.

Nmeichukua kwa 34m ya diesel reason ya kununua ni unywaji wake wa mafuta na hyo nili experience kwa jamaa yang alinipa yake nlitumia kama week nikaweka budget ya 100k ya mafuta full ac sabab nlikuwa na watu fulani ila cha ajabu nilivyoweka yale mafuta ya 50k nkatumia week nzima tofauti na haria nlokuwa natumia kabla.

Issue ya perfomance ndo usiseme kwani ina nguvu mno na iko very comfortable yani ile comfortability yake iko the same na haria hybrid hizi new model ambayo hamna hamna hununui chini ya 70m+.

Kuhusu service na spare watu wasikutishe kwani spear zmejaa nying sabab zinanunuliwa sana kwa sasa na watu yani haipiti nusu saa au lisa utaiona inapita high way
 
CX5 ina sporty feel na ni reliable tu na itakupa raha zaidi kuendesha. Kuna reviews wanadai model za nyuma ya 2015 za petrol ni reliable zaidi ya diesel. Kwa bongo spare itakuwa gharama kidogo
Kluger ni reliable, mafundi ni wengi ila kwenye kuendesha itakuwa ni kawaida tu, sio tamu kama cx-5
Kati ya hizi tatu nisingeshauri Dualis, I believe itakuwa less reliable of the bunch
Mkuu kluger na forester xt ipi ina comfy nzuri?
 
Back
Top Bottom