Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Tesla imezindua gari linalotumia umeme ambalo hatahivyo liliiaibisha kampuni hiyo wakati wa uzinduzi huo.
Wakati walipokuwa wakionyesha jinsi madirisha ya gari hilo yalioundwa na glasi isiyovunjika; kwa bahati mbaya wakati wa maonyesho yalivunjika.
Elon Musk alisikika akitukana kabla ya kutoa mzaha kwa kusema: 'Kuna muda wa marekebisho'
Tesla, Inc (zamani Tesla Motors, Inc), ni kampuni ya magari ya Marekani. Kampuni hiyo inajihusisha na utengenezaji wa gari za umeme.
Chanzo: BBC Swahili