Cybertruck: Tesla yapata aibu wakati wa uzinduzi wa gari lake la umeme

Cybertruck: Tesla yapata aibu wakati wa uzinduzi wa gari lake la umeme

One step at a time.Hope they will make it.By the way hii technology ya vioo bullet proof mbona sio kitu kigen sana.au labda sijaelewa mm may b...
Hawana tofauti na wale wapogoro wauza glasi huwa wanazijaribu kwa kuzidondosha chini kuna siku jamaa aliidondosha chini mara pwaa ikavunjika nilichekaa
 
Eti aibu, waswahili nyoko sana, yaani kitu kidogo tu 99% right, but just 1% kikienda wrong, utasikia aibu. Aibu ndio zinawafanya kuwa maskini sbb you will not try anything ktk maisha yako kisa uoga wa aibu..😡🖕🖕
 
Ingekuwa ni hapa bongo halafu jiwe ndo moja ya mgeni rasmi ingekuwa ni mzigo wa aibu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jiwe angechukua point zote tatu na kazi angemfukuza on the spot
 
Musk mutu ya ganja..... Atakua alikula sana kijiti af akaanza kuwaza namna ya kupata publicity ndo akaja na njia hiyo. . Huyu jaaa hawezi kufeli kiasi hicho kwa jinsi alivyo makini
 
Kamkosea wapi heshima? Tatizo letu bangi tunavuta na njaa kali ukitoka hapo unashushia ugali na dagaa hata maji haunywi unaishia kukomaa tu

Jamaa anavuta bangi vizuri tu ungejaribu kuwasiliana naye umwambie aache kujishushia heshima

Sijui nani aliyekuambia kuvuta bangi ni kujishushia heshima.
Uwe na heshima kidogo kwa Elon mkuu,

huenda Elon akawa binadamu muhimu sana kiteknologia kwa kizazi hiki.
 
Uwe na heshima kidogo kwa Elon mkuu,

huenda Elon akawa binadamu muhimu sana kiteknologia kwa kizazi hiki.
Mkuu mbona Elon anavuta Weed Kama kawaida na mwaka huu akiwa kwenye studio za radio alipuliza weed kama kawaida tu ...


Au wewe unadhani kuvuta bangi kunakufanya usiwe binadamu wa muhimu ??


IMG_20191125_210701.jpeg
 
Daah sema huo mgari una shepu kama yale magari ya makopo tuliokua tunatengeneza utotoni na kuweka matairi ya kandambili. 🤣🤣🤣 Sijui huyo dizaina alieunda hilo dude ana matatizo gani..?

Mwingine huyu hapa eti mgari una shape mbaya

Mkuu kwamba unabisha hakupuliza Mmea akiwa studio anahojiwa mbele ya ma-camera?

Najua mwamba anapuliza vizuri sana

Nafuatilia sana elon musk na ni bahati kubwa sana kuwa na mtu huyu kizazi hiki,



Kamkosea wapi heshima? Tatizo letu bangi tunavuta na njaa kali ukitoka hapo unashushia ugali na dagaa hata maji haunywi unaishia kukomaa tu

Jamaa anavuta bangi vizuri tu ungejaribu kuwasiliana naye umwambie aache kujishushia heshima

Sijui nani aliyekuambia kuvuta bangi ni kujishushia heshima.

Najua kama anachoma mzee na uwasilishaji wa mchango wake ndo shida.
 
Back
Top Bottom