mbona umetumia lugha nyepesi mkuu. Sema jizi la rambirambiYeyote anae pokea rambi rambi halafu kwenda kufanyia mambo tofauti na kusudi la rambi rambi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mbona umetumia lugha nyepesi mkuu. Sema jizi la rambirambiYeyote anae pokea rambi rambi halafu kwenda kufanyia mambo tofauti na kusudi la rambi rambi
Best replay ever. Kula tano ccm nima zero kichwani Kaka.Yaani unafurahia nchi kuendeshwa kwa misaada badala ya kusisitiza sisi wenyewe kuongeza uzalishaji?. Kwa akili hizi watanzania kujikomboa bado sana. Yaani unafurahia wanaume wenzako huko ulaya wafanye kazi halafu wawaletee hela mle.Halafu kesho na kesho kutwa mkiwa kwenye mgogoro hao watoa msaada wakiingilia mnasema WATUACHE NA MATATIZO YETU, MARA MATATIZO YA AFRIKA YATAMALIZWA NA WAAFRIKA, wajinga kweli haya malizeni matatizo Congo na Southern Sudan.
Hatari ni musiba mwenyewe anataka kujipatia umarufu kupitia majina muhim ktk nchiUnapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
Sad! Mpumbavu moja anachonganisha Tanzania na Marekani mchana kweupe halafu anachekewa na watawala. Akiambiwa atoe prove ya madai yake hayo na Marekani atamudu?WANTED! Hasa hao walioko ughaibuni! Ndo wa kutaftia dawa!
Hawamtendei haki wangempa teuzi,atatue njaa zake,waandishi wa habari Wa siku hizi kumbe MTU yeyote anaweza ita pressSiku hizi akina Musiba watajitokeza wengi sana kwa ajili ya kujitafutia umaarufu.
Ndio huyo huyoHuyo MSIBA Kafanyeje?Naomba pia Kuuliza.Ndio Yule aliyekuaga MAGIC FM Michezo?Maana kuna Mijitu Inajitokeza Kipindi hiki kwa Kasi ya Hatari.Halafu Nyuma yana Makandokando Chungu Nzima
True yani uiambie Germany inazalisha magaidiUjinga mtupu kuamini ujinga wako huu. Siamini kama kuna watanzania mbumbumbu wa aina yenu na huyo musiba.
Shaurini mamlaka zimkamate huyo musiba kabla hajasababisha mgogoro wa kidiplomasia baina ya Tanzania na mataifa aliyoyatuhumu. Kumtuhumu kiongozi wa nchi kubwa kama Ujerumani kwamba anaratibu kuandaa mafunzo ya kufanya uhalifu katika taifa jengine, hiyo ni hatari ikiwa ujerumani itataka uthibitisho wa tuhuma hizo. Unapoituhumu taasisi kama FBI (japo sielewi why FBI hapa, labda hakujua kwamba kuna CIA) ni lazima ujipange kuthibitisha hilo.
Serikali ili ijihami ni budi imkamate huyu na kumtaka athibitishe na akishindwa achukuliwe hatua kali za kisheria na pia ajitokeze hadharani aombe radhi kwa ujinga huu. National security ni jambo nyetina lina taasisi maalum inayosimamia, kama yeye ana ushahidi wa tuhuma hizo alipaswa awasilishe kwenye taasisi hizo si kuita press kiholela hivi. Natarajia huyu mtu kukamatwa very soon.
Ushauri: political propaganda ni profession inayohitaji watu wenye weledi na research ability ya hali ya juu. Msiwape watu wajinga kama huyu wataharibu nchi yetu.
Hebu uwe na mawazo ya kujitegemea kama jirani yako KENYA. Wewe unataka uajiri mwalimu kwa mshahara wa msaada?Yeyote anayeombea nchi inyimwe misaada!
6 Anayesema kwamba watu wa Mwanza ni wapiga kura wake.Hebu tutende haki tuwe na balancing story hata kwenye hili la Cyprian Musiba aliyetaja orodha ya watu kumi hatari kwa usalama wa Tanzania.
Kwenye orodha yake kawataja kwa majina na karibia wote ni viongozi wa UPINZANI na wachache ni wanaharakati na watoa maoni huyu.
Naomba tulitendee haki jukwaa nasi tuwe na orodha yetu ila tusitaje majina kuepuka uzi kufutwa. Tutaje mtu mwenye viashiria vya hatari... Nitaanza wengine mtamalizia
1. Yeyote anayepuuza maoni ya wengine.. Kwa uchache wao ama wingi wao..
2. Yeyote asiyekubali tofauti za kimtazamo katika jamii moja...
3. Yeyote asiyezingatia utawala wa sheria
4. Yeyote asiyezingatia haki za binadamu....
5..... Ongezea
Unapata wapi nguvu ya kuutangazia umma wa Watanzania kwamba hawa ndugu zetu ni hatari??? Mamlaka unayatoa wapi Musiba???
Maana ya mtu hatari katika usalama wa taifa ni wewe wa kutoa hiyo hukumu na maamuzi ya kuwaita wenzetu Hatari???
Naombeni msaada ni nani huyu? Anapata wapi mamlaka na nani amemtuma?
Samahani JF niliiacha hii habari hewani bila kuiimarisha kwasababu huyu jamaa alinichefua sana, nasema ukweli nilifika hatua ya kufikiria kuukana utaifa wangu wa Tanzania. Polisi wanamuacha huyu? Vyombo vya habari mnaripoti mtu kama huyu really na mnaona ni taarifa ya kawaida tu....???
Kumbe na kigazeti hiki ni cha kipumbavu!
Labda ni Mtoto wake .....................!!Unamzungumzia Willy Gamba au.....?!!