Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Wahariri wa Magazeti ya Musiba wasema Musiba ni mhuni
Wahariri wa magezeti ya Cyprian Musiba wamesema Musiba ni mhuni hajawalipa miezi mitatu na hapokei simu. Wamesema wanadai mishahara ya miezi mitatu watampeleka mahakamani Jumatatu. Wahariri wamesema tangu mwezi wa tatu hawajapokea malipo yao ambayo ni haki yao ikiwa na wao wanafamilia...