Haahaa lissu anawatoa sisimizi wote Toka ccm😂😂Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani.
Musiba amesema kuwa viongozi wa upinzani wanatumia vyama vyao kama njia ya kujipatia hela na kwa kuwa CCM ni chama dola, hakibagui...kama upo CHADEMA na unataka pesa, unapewa, kama ukiwa ACT ukitaka pesa unapewa
...zilichangwa, hakuomba.Lisu alipokea hela za mchango wa gari yake binafsi toka CCM milioni tano na laki mbili
Pumba tupuMwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani.
Musiba amesema kuwa viongozi wa upinzani wanatumia vyama vyao kama njia ya kujipatia hela na kwa kuwa CCM ni chama dola, hakibagui...kama upo CHADEMA na unataka pesa, unapewa, kama ukiwa ACT ukitaka pesa unapewa
Kwamba Lissu anapigwa risasi halafu anahongwa na watuhumiwa,daah kizazi hiki kinajua ipi ni propaganda na ipi siyo.Kumbe haya majitu yanajifanya mapinzani kumbe yanakula CCM, shenji gete
Lissu hashindwiKwamba Lissu anapigwa risasi halafu anahongwa na watuhumiwa,daah kizazi hiki kinajua ipi ni propaganda na ipi siyo.