Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani.
Musiba amesema kuwa viongozi wa upinzani wanatumia vyama vyao kama njia ya kujipatia hela na kwa kuwa CCM ni chama dola, hakibagui...kama upo CHADEMA na unataka pesa, unapewa, kama ukiwa ACT ukitaka pesa unapewa