Cyprian Musiba amuunga mkono Mbowe asema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wamepokea hela kutoka CCM akiwemo Heche, Lema, Wenje na Lissu

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani.

Musiba amesema kuwa viongozi wa upinzani wanatumia vyama vyao kama njia ya kujipatia hela na kwa kuwa CCM ni chama dola, hakibagui...kama upo CHADEMA na unataka pesa, unapewa, kama ukiwa ACT ukitaka pesa unapewa
 
Kumbe haya majitu yanajifanya mapinzani kumbe yanakula CCM, shenji gete
 
Huyu atakuwa punguani!! Lini CCM ilimpa Lisu pesa? Ukiwa CCM ukachangiwa pesa na mtu ambaye ni mwamachama wa CHADEMA, haimaanishi umechangiwa na CHADEMA; and vice versa.
 
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanapokea hela kutoka CCM kwa nyakati tofauti akiwemo Lissu, Heche, Lema na Wenje. Pia amesema kuna watu wengi ndani ya CHADEMA wanaoomba kila siku kuwa CCM iendelee kubaki madarakani.

Musiba amesema kuwa viongozi wa upinzani wanatumia vyama vyao kama njia ya kujipatia hela na kwa kuwa CCM ni chama dola, hakibagui...kama upo CHADEMA na unataka pesa, unapewa, kama ukiwa ACT ukitaka pesa unapewa
Haahaa lissu anawatoa sisimizi wote Toka ccm😂😂
 
Pumba tupu
 
Ila inachekesha, timu Tundu inatuhumu timu Philmon na upande wa pili hivo hivo, mbona vikao vya CCM haviwajadili kwenye chaguzi zao?Badala ya kujenga hoja ni yapi utafanyika chama miaka 5 ijayo unaishia kulaumu chama tawala.
 
Kumbe haya majitu yanajifanya mapinzani kumbe yanakula CCM, shenji gete
Kwamba Lissu anapigwa risasi halafu anahongwa na watuhumiwa,daah kizazi hiki kinajua ipi ni propaganda na ipi siyo.
 
Back
Top Bottom