Cyprian Musiba atakiwa kumlipa Membe Tsh. Bilioni 9 ndani ya siku 14

Nafikiri wanatekeleza taratibu za kisheria zinazotakiwa kabla ya bwana musiba kwenda kuziba pengo lililoachwa wazi na Sabaya hujo magerezani.


Baada ya kukamilisha hatua hii, mahakama itaidhinisha utaratibu wa mali za Musiba kupigwa mnada. Itakapoonekana hana mali ya kufikia hiyo thamani atapelekwa gerezani.

Bilioni 9 ni parefu sana. Ingekuwa mikuoni 90, labda wenzake, Makonda na Sabaya wangemchangia. Lakini bilioni 9, ajiandae kisaikolojia kwenda jela.

Funzo zuri sana kwa machawa wa watawala.
 
Kimenukaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…