dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,901
- 58,103
hahahahaChadema watakwambia Mungu fundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaChadema watakwambia Mungu fundi
Majasusi karibu wote Huwa Wana sura za upole sijui ni taaluma au inakuaje..Majina mengine kweli sio ya kucheza nayo kabisa mtu tu anaitwa musiba hafu wewe unataka kubishana nae.
R.I.P membe na sura yako ya upole.
Upande wapili inaweza ikamsumbua zaidiUungwana ndio huu
Rest well Bernard Membe
Pole na kwake Cyprian mwenyewe haya maneno yanayoendelea kwamba amefurahi yanaumiza sana
Polepole: Wahuni ni Watu wa hovyo sana 😂😂😁😀
Huu ni udhaifu wa vibinti.Chadema watakwambia Mungu fundi
Kabisa, sio huu wa kukaa na kufurahia mauti za wengine au kuwa na checklist ya who is next.Huu ndo Ubinadamu
Kweli kabisa. Kama tu kuwa na list za who is nextHuu ndo Ubinadamu
uchafu kwako sio kwangu, sema tumpende Mungu mana huko tuendapo akujua yeyeTunatakiwa tutembee duniani tukitazama chini, nyumba, pesa, magari, vyeo na takataka zote ni uchafu tu.
Membe amgekuwa Rais mwaka 2015 kumbe bado kama Taifa tungekuwa na Msiba wa Taifa. Bado kunafukuta