Cyprian Musiba Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Bernard Membe

Cyprian Musiba Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo Cha Bernard Membe

Uungwana ndio huu

Rest well Bernard Membe

Pole na kwake Cyprian mwenyewe haya maneno yanayoendelea kwamba amefurahi yanaumiza sana
 
Huko mwibara ndo kumetuma kimbora....wale watu sio wa kuchezea sumbawanga anasubiri

[emoji16] jifulu jagonga imeli
hao ni mwisho hiyo salam ni kuua soo tu sio kwamba imetoka moyoni!
Kwani alitaka abaki hai washindane? Adui ni adui tu!
 
Huu ndio ubinadamu Sasa ,sio Kama huyu marehemu alivyoshangilia jpm alipofariki .umefanya vyema msiba.naamini marehemu atajifunza hukohuko aliko huu uungwana uliouonyesha .maisha ni upendo na kusameheana.
 
Back
Top Bottom