Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu

1681818901023.png
 
View attachment 2592004
Kwani yale nayo yalokuwa magazeti?
 
Tutakufuata hukohuko hadi ulipe billion zetu.
 
Halimi wala nini. Anatumbua mihela aliyolipwa kwa akuwasaliti watanzania kwa uzalendo wa wizi
 
"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu

View attachment 2592004
Sasa Membe anazipataje hizo B 9 kutoka kwa Mkulima,tena Mkulima mwenyewe ni mpya kwenye Kilimo Mr Musiba!!
 
Sema hivi nimeamua kurudi kulima baada ya kuona yule jamaa toka aende zake sina tena mbeleko" sawa eeh aya chukua jembe mpini nitakuchongea tuje tuanze hicho kilimo
 
Back
Top Bottom