Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

Kokoto kokotooo kozala na macompashioni Makonda amerudi, shida nn?
 
Hakuna defamishon cku hz ni kuhabarishana tyu
 
"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu

View attachment 2592004
Kama hujazungukwa na wanafiki lima bangi...inalipa sana 👍
 
Yale yalikuwa ni vipeperushi tu, hayakuwa magazeti yale, upupu mtupu ulikuwa unaandikwa mle
 
1681818901023-png.2592004

Soma pia
Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka
mshenzi tu
 
Baada ya magazeti yako kuanguka au baada ya shetani aliyekuwa anakufadhili kukatwa miguu?
 
Musiba ni mtu muhimu sana katika taifa hili, alizungumza mengi wakati wa JPM na alikuwa mfuasi wake sana. Ajiunge na Makonda katika kukijenga chama. Hata achukuwe usukani wa taifa hili kwa uzalendo wake. Alipinga sana mafisadi.
 
Back
Top Bottom