Kwani yale nayo yalokuwa magazeti?"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu
View attachment 2592004
Tutakufuata hukohuko hadi ulipe billion zetu."Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu
View attachment 2592004
Halimi wala nini. Anatumbua mihela aliyolipwa kwa akuwasaliti watanzania kwa uzalendo wa wizi"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu
View attachment 2592004
Sasa Membe anazipataje hizo B 9 kutoka kwa Mkulima,tena Mkulima mwenyewe ni mpya kwenye Kilimo Mr Musiba!!"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu, sisi watu wengine tuna misimamo ambayo hatuwezi kuyumbishwa, siku wakiona umhimu wangu watanithamini" Cyprian Musiba katika mahojiano yake na @jambotv kuhusu kutoonekana kwa magazeti yake ya Tanzanite na Fahari Yetu
View attachment 2592004
Malipo ya kazi yako ndo zile 8Bil,nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu,
Fedha ya Niguse Ninuke umelipa?"Nimeamua kurudi kijijini kulima baada ya magazeti yangu kuanguka, sina jinsi nimekubaliana na matokeo, kila zama na kitabu chake, nimefanya wajibu wangu wa kulipigania taifa lakini siko tayari kuwapigia watu magoti ili watambue umhimu wangu
Ila membe bana huu msemo niguse ninuke ulikuwa mahsus kwa Magufuli. Magufuli alipanic balaa.Fedha ya Niguse Ninuke umelipa?