Cyprian Musiba: Nimerudi Kijijini kulima baada ya Magazeti yangu kuanguka

Kokoto kokotooo kozala na macompashioni Makonda amerudi, shida nn?
 
Hakuna defamishon cku hz ni kuhabarishana tyu
 
Kama hujazungukwa na wanafiki lima bangi...inalipa sana 👍
 
Yale yalikuwa ni vipeperushi tu, hayakuwa magazeti yale, upupu mtupu ulikuwa unaandikwa mle
 
Baada ya magazeti yako kuanguka au baada ya shetani aliyekuwa anakufadhili kukatwa miguu?
 
Musiba ni mtu muhimu sana katika taifa hili, alizungumza mengi wakati wa JPM na alikuwa mfuasi wake sana. Ajiunge na Makonda katika kukijenga chama. Hata achukuwe usukani wa taifa hili kwa uzalendo wake. Alipinga sana mafisadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…