Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

mike2k

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2016
Posts
1,571
Reaction score
3,448
Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.

Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
 
Mtangazi na kiongozi wa radio free africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc makonda.
Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
Ujinga umekuzidi umri wewe
 
Kazi zilivyo ngumu hivi labda kaahidiwa upande wa wahariri
 
Reactions: SDG
Mmmh, kumbe free Afrika Radio nao walifanya mahojiano na 'mshikaji' Mbona nasikia alifungiwa na vyombo vya habari??
 
Huyo hana akili, aende akaajitiwe clouds sasa
 
Reactions: SDG
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
 
ukiona hivyo ameahidiwa ajira na wauza ngada..wanazo ajira kwa watu kama yeye.
 
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
Na hiki ndicho kinacholiua Taifa na kuwaacha wanasiasa taking advantage of us!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…