lufungulo k
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 2,601
- 2,058
Hivi great thinkers wanakuwa hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mawazo ya kimasikini hayo mkuu kwani kuacha kazi ndio mwisho wa maisha?Kazi zilivyo ngumu hivi labda kaahidiwa upande wa wahariri
Amepata huyo.wenzake walioweka hilo azimio wanapiga kaziKazi zilivyo ngumu hivi labda kaahidiwa upande wa wahariri
Lumumba bk7 imemuajiri usihangaike nayeWewe Mwenye akili umeajitiwa wapi
Gigi umekurupukaAende akaajiliwe kwenye gazeti la Tanzania daima, huko ndio majizi na mafisadi husafishwa na kutetewa
Musiba yupi?Yule alokuwa Magic na Channel Ten?Huyo hana akili, aende akaajitiwe clouds sasa
Mbona imewaacha wengi tu salama, GSM, kinje na wengine wengi tu ambao tunapeperusha bendera ya kijani kwenye shunghuli zetu haramu.Kwanza hiyo a/c ni yake kweli? Kama ndiyo basi vita ya madawa ya kulevya haijawahi kumuacha mtu salama [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ndio huyo huyo mkuu..UNATAKA KUSEMAJE....Musiba yupi?Yule alokuwa Magic na Channel Ten?
amehongwa na wauza ngada na vibaraka wao cdm kuendeleza vita yao dhidi ya ccm na makonda.
Pole kwa safari mkuu karibu nyumbani na kama ulikua nyumbani alafu ilikupita hii inabidi update memory yakoMmmh, kumbe free Afrika Radio nao walifanya mahojiano na 'mshikaji' Mbona nasikia alifungiwa na vyombo vya habari??
Nataka kusema 'asante'Ndio huyo huyo mkuu..UNATAKA KUSEMAJE....
Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.
Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
Haya mkuu nilifikiri una 'JAMBO'Nataka kusema 'asante'