Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

Tetesi: Cyprian Musiba wa Radio Free Africa aamua kuacha kazi

Huyo hana akili, aende akaajitiwe clouds sasa
Kwa sababu kapingana na interview ya bashite ndio maana unaona hana akili. Shtuka mtabaki peke yenu kama vichaa wenye akili wote watawakimbia.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mtangazi na kiongozi wa Radio Free Africa bwana Cyprian Musiba ameamua kuacha kazi kutokana na issue ya maadili mara baada ya mahojiano ya Rc Makonda.

Kupitia ukurasa wake wa insta amebainisha hayo.
Huyu msiba atakuwa zuzu hiyu.unaleta ziasa kwenye kz na maisha.!!!??? Au kapata kz nyingine au tayari kaingizwa kwenye malipo ya madawa ya kulevya km kina balile na wengne
Karma is a bi.tch... Sahara Media mbona watakoma.

5e61b43856449d67a970fb9640542cf4.jpg
 
"VITA YA MADAWA YA KULEVYA"Hivi anayetumia maneno haya anajisikiliza vizuri anavyosound kweli?sijawahi kusikia uharo kama huo tangu nizaliwe ptyuuh!
 
"VITA YA MADAWA YA KULEVYA"Hivi anayetumia maneno haya anajisikiliza vizuri anavyosound kweli?sijawahi kusikia uharo kama huo tangu nizaliwe ptyuuh!
 
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno
Iko tatijo kumukichwa yako veve!!
 
Unapofanya hasira za kujiuzulu kisa maneno ya watu,, fikiria mara mbili maana kama hauna njia nyingine ya kupata kipato hapo (UTALIMIA MENO)na wale waliokuwa wanakushinikiza kwa maneno yao hutowaona wakati unasaga meno

Uoga wa maisha huo mkuu,

Unahisi ajira ndo kila kitu sio,
 
Hawa washenzi walitusumbua sana kwenye kampeni.
Haka kamakonda ni kahuni vby mno, mimi nilikutana nae in person wakati akiwa mkuu wa wilaya Kino. Tukajadili vitu vya msingi tukafikia muafaka, kashenzi kakanizunguka dakika za mwisho, kakala hela za vijana kutoka kwa Balozi wa Uingereza wakati huo alikua mama Diana Melrose. Hua kanavyomtaja taja Mungu na kulialia makanisani hua namuona mnafiki wa kiwango cha PhD.
 
Back
Top Bottom