D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Mkuu bado kuna baadhi ya maswala huwa hayawezi kuwekwa hadharani hata ipite miaka mingapi, Mfano haya mambo hapa chini?

Mbona mpaka leo hatujawekwa wazi kuhusu nani alichoma benki kuu ya Tanzania na kupoteza baadhi ya nyaraka muhimu ili kuficha ukweli?

Mbona mpaka leo hatujawekwa wazi ni nani alimuua mpendwa wetu Sokoine? Japo wanatuaminisha ajali.

Mbona mpaka leo haijulikani alipo Kassim Abdallah Hanga? Ni nani alihusika na upotevu wake maana kama walimuua basi familia yake inataka ione japo kaburi.

Mpaka leo zaidi ya miaka 50, Wamerekani bado hawajaweka wazi mtu/ kikundi cha watu waliohusika na kifo cha John F. Kennedy na baadae Mdogo wake Robert F. Kennedy?

Kuna mambo huwachwa hivyo hivyo na pengine mpaka Dunia itakapoisha, au kizazi hiki chote kiishe.

We call it, Top Secrets.
 

Swadakta! Umechambua vizuri sana mkuu.. Hakika kwa umbali mrefu wa futi 10,000 alikuwa na uwezo wa kuchezea parashuti akatue mbali sana tofauti na wanapofikiria.. Pia ni sahihi kabisa kuna posibility fedha alizitorosha nje ya nchi kinyemela
 
KUNA ILE MOVIE YA 2016 INAITWA "POINT BREAK" KUNA PLOT MOJA WANAIBA FEDHA THEN WANACHEZA SKYDIVING KWENDA CHINI IN MEXICO THROUGH THE HOLE DIRECT INTO THE BIG CAVES IN MEXICO. SIO KWAMBA HUYU COOPER NAE NDIO ALIPIGA SHOW KAMA HII AU WANADHANI MAY BE ALIFANYA HIVYO. INGAWA BADO MI NABAKI NA INSTICT ZANGU KUWA FBI/CSI WALIHUSIKA.
UKIONA UHALIFU WOWOTE DUNIANI KATIKA NCHI YOYOTE UMEFANYIKA NA WAHALIFU HAWAJAPATIKANA UJUE USALAMA WA NCHI HUSIKA UTAKUWA UMEHUSIKA KWA HALI YA JUU SANA.
KAMA KWA JF KENEDY/2PAC/BIGGIE/PRINCESS DIANA.... ETC
 
Km miaka 45 imepita na D. Cooper hajapatikana basi jamaa akili yake iliwaza ambapo FBI hawakuwaza. Km akili ya FBI ilikuwa 1 D. Cooper alikuwa ashafikisha 46 ndo maana mpk sasa hawajajua lolote.

Ila najiuliza, je haiwezekani hyo hela ikapelekwa kutumika nje ya nchi?
 
Nakuuliza swali ni nani aliewafungia marubani mlango na yeye kubaki peke yake ndani ya ndege na kwenda kufungua huo mlango wa nyuma
 
Swadakta! Umechambua vizuri sana mkuu.. Hakika kwa umbali mrefu wa futi 10,000 alikuwa na uwezo wa kuchezea parashuti akatue mbali sana tofauti na wanapofikiria.. Pia ni sahihi kabisa kuna posibility fedha alizitorosha nje ya nchi kinyemela
Na zile zilizookotwa kule mchangani wakati dogo anafukua ni nin
 
Bonge la stori. Huyo cooper kama angekuwa bongo wachawi wangemtumia kutengeneza ndumba ya kufanya tukio na kutokuonekana wala kupatikana...huo mti wamgeuita mkupakupa
Mkupakupa [emoji12]

Kaka ...
 
Wanapotushinda wenzetu ni uwezo wao Mkubwa wa kuunganisha matukio, muhusika huwa anaandaliwa kabla ya kupata anayevaa uhusika wenyewe.

Nimesoma kidogo namna sinema ya John Wick ilivyomfanya muhusika mkuu aende Brazil kujifunza sanaa ya mapigano yenyewe asili ya huko na pia alijifunza kirusi kwa ajili ya sinema hiyo.

Tunashindwa kwa kutofuata misingi ya uendeshaji wa sanaa yenyewe.

Kaka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…