Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Mkuu bado kuna baadhi ya maswala huwa hayawezi kuwekwa hadharani hata ipite miaka mingapi, Mfano haya mambo hapa chini?Sasa wote mkisema kwa sababu za kijamii hamuweki wazi na kesi yenyewe ishafungwa kuna madhara gani kuzisema hizo sababu maana hazina madhara tena? Nvojua mie hata majasusi wakubwa duniani wana muda fulani wa kutunza siri za mission fulani fulani, hii kitu ya Cooper imepitwa na wakati, acheni kuficha ficha basi wekeni wazi mambo yote sio kusema sababu za kijamii. Mdau The bold Napenda kujua wazo lako la kwann alidai hela ambazo anajua zingejua marked
Mbona mpaka leo hatujawekwa wazi kuhusu nani alichoma benki kuu ya Tanzania na kupoteza baadhi ya nyaraka muhimu ili kuficha ukweli?
Mbona mpaka leo hatujawekwa wazi ni nani alimuua mpendwa wetu Sokoine? Japo wanatuaminisha ajali.
Mbona mpaka leo haijulikani alipo Kassim Abdallah Hanga? Ni nani alihusika na upotevu wake maana kama walimuua basi familia yake inataka ione japo kaburi.
Mpaka leo zaidi ya miaka 50, Wamerekani bado hawajaweka wazi mtu/ kikundi cha watu waliohusika na kifo cha John F. Kennedy na baadae Mdogo wake Robert F. Kennedy?
Kuna mambo huwachwa hivyo hivyo na pengine mpaka Dunia itakapoisha, au kizazi hiki chote kiishe.
We call it, Top Secrets.