Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] ,titimunda unaakili kama zangu[emoji122] [emoji122] [emoji122]
Mkuu, hii ni ndefu ila tamu. Usihamishe mada. [emoji2] [emoji2] [emoji2]Nimefarijika sijaona bandiko la ulalamishi kama kawaida yetu utasikia lakini ndefu badla yake watu wanataka mdau atiririke awamu ya pili haaa haaa.
Mkuu inaendelea lini? ikiendela unitag
Mkuu @thebold part two vipi ?? Ukiweka tafadhali usisahau kuniita
Nitafanya hivyo wakuu..e bhana bro umetisha naomba unitag part two ikianza
na mimiNitafanya hivyo wakuu..
Ni kweli jamaa anatisha,VERY Intersting story dah ukipata nafas iendleze mkuu...
kwahiyo ukaquote maelezo yote hayo kwa hiyo mistari miwili tu.. watu wengine bhanaJaman wewe endelea, tangu jana ujue wenzio tupo pending. Tuhadithie basiii
Jaman wewe endelea, tangu jana ujue wenzio tupo pending. Tuhadithie basiii
Ntajitahidi nikutag nikiweka muendelezo, ila tafadhali next time jitahidi kuepuka kuquote thread yote..na mimi
Uko vizur katika uandishiNtajitahidi nikutag nikiweka muendelezo, ila tafadhali next time jitahidi kuepuka kuquote thread yote..
siku nyingine usiquote kabisa maelezo marefu namna hii. Unatuumiza sana tunaotumia simu za button.Jaman wewe endelea, tangu jana ujue wenzio tupo pending. Tuhadithie basiii