Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Mkuu yaani una-qoute thread nzima kwa mistari miwili!Siku nyingine haijafika mkuu....
Si ungem-tag tu! Unatuumiza sana sisi wenye simu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu yaani una-qoute thread nzima kwa mistari miwili!Siku nyingine haijafika mkuu....
Ntajitahidi nikutag nikiweka muendelezo, ila tafadhali next time jitahidi kuepuka kuquote thread yote..
Nikajua Ni Simulizi Nyingine. Umeanza Vizuri KweliNi usiku wa manane Muda ambao Hua ninautumia kutafakari mambo kadhaa muhimu ktk shughuli zangu, na Leo Kama kawaida nilihitaji kutafakari kwa kina kuhusu Kijana Wangu ambae amekua mlevi wa kupindikia... Nina chukua simu yangu ili kujikumbusha kitu Fulani kutoka ktk Notes zangu kwenye simu hii, ndipo ninapo kumbana na kisa hiki. Ajabu Ni kua nlipanga kutafakari kwa DK 10 lkn hadi sasa ninaendelea kurudia kisa hiki Tena na Tena kwa masaa 2!
Asante sana mwandishi
Tumeiona, tunangoja hiyo utayorudi nayo nyingineNyongeza mpya wakuu! Inaanzia #7
Uko vizur katika uandishi
Siku nyingine haijafika mkuu....
Mkuu na mimi unitag umeniongezea hamu ya prison break season 5, D.B Scooper wakati anakata roho alitaja eneo alilozifukia zile pesa mbele ya jamaa wote, kilichotokea jamaa kila mtu na njia yake wakawa wanaelekea sehemu moja, hiyo ikamfanya yule askari kuhisi pale kuna kitu.
Yaani nimevyonza peke yangu, kuona kopi lote lile
Nasubiri muendelezo
na mimi
Safi sana mkuu. Lini sasa muendelezo.
sasa hela kazitumia wapi huyu jamaa.. siondoki hapa mpaka mwisho
Mkuu inaendelea lini? ikiendela unitag
Mkuu @thebold part two vipi ?? Ukiweka tafadhali usisahau kuniita
Upo vzr aisee mie mvivu wa kusoma ila nmesoma kwa bidii na nkatamani kuendelea
e bhana bro umetisha naomba unitag part two ikianza
VERY Intersting story dah ukipata nafas iendleze mkuu...
Umezidi kunipandishia hamu [emoji14] [emoji14]
Daah,eeehee ikawaje...
Sawa kiongozi tunasubiri iyo story ndugu
Daa wewe noma tupe zaidi ii story inafundisha zaidi
Duh imenoga mkuu
Mkuu tunakusubiri
Mkuu usingizi umekata lete vitu
Dah yaan umenikata moto!! Nilidhan tanesco wamekata umeme[emoji16]
Nyongeza mpya inaanzia #7Kaka lini mzigo unaendelea..... Maana ni bonge la season....??
Fbi si ndio wachunguzj mahili kabisa duniani ktk kubaini makosa... Cooper aliwawezaje.....??
Asante kwa burudani mkuuNyongeza mpya wakuu! Inaanzia #7
Ngoja niweke mark kwenye hii story nikisubiri sehemu ya mwisho.Nashukuru kiongozi..