D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Hapo naona db cooper mwenyewe hakuondoka na ndege bali alishuka na mateka baada ya kupewa mshiko wake...
Then marubani na engineer wa ndege walikula mchongo wakatoa false testimon na wakatengeneza mazingira ili ionekane kuwa db cooper aliruka na parachuti...
Maana isingekua rahisi kwa cooper kuruka na wakati kuna ndege mbili za kijeshi juu na chini alafu asionekane..

Hapo lazima kuna mchezo kati ya marubani na fbi ft cooper the boss.


Mtazamo wangu tu huo
 
Watu wengi sana hawaijui hii kitu ya db cooper hata mm kuna some pieces nilikua namis
 
Ni usiku wa manane Muda ambao Hua ninautumia kutafakari mambo kadhaa muhimu ktk shughuli zangu, na Leo Kama kawaida nilihitaji kutafakari kwa kina kuhusu Kijana Wangu ambae amekua mlevi wa kupindikia... Nina chukua simu yangu ili kujikumbusha kitu Fulani kutoka ktk Notes zangu kwenye simu hii, ndipo ninapo kumbana na kisa hiki. Ajabu Ni kua nlipanga kutafakari kwa DK 10 lkn hadi sasa ninaendelea kurudia kisa hiki Tena na Tena kwa masaa 2!
Asante sana mwandishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu tupo wengi ambao huyu jamaa kateka ratiba zetu ghafla
 
Back
Top Bottom