Sioni u genius wake uko wapi kwa kweli.
Katika ma parachute aliyopewa alichagua parachute moja zima moja ni toy la kujifunzia, akaacha mazima mawili, kwa hiyo alikuwa hana reserve parachute. Hapo kuna u-genius gani?
Wataalam wanajiuliza utajaribuje ku sky dive bila reserve parachute kwenye upepo wa 200mph blasting in your face, mvua kali, kiza kinene, umevaa suti na viatu vya ngozi vya kishua, windchill ama baridi inayokolezwa na upepo siku ile ilikuwa minus 69F, umefunga bank bag mgongoni... ?
Kwa nini achukue chances kama hizo mtu genius?