Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Je zile hela nyingine alizo ziokota yule dogo wakati anachimba arthini kule beach akiwa na familia yake zilitoka wapi?Mm ndio maana nasema jamaa hakuruka na ndege mara ya pili...
Alishuka na mateka baada ya kupewa mshiko wake.....then marubani ndio wakamaliza mchezo wote......tena hata ile choice ya kujifanya alitumia parachute za kujifunzia. Waliifanya maksudi ili fbi wajue jamaa lazima atakua amekufa