D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Mm ndio maana nasema jamaa hakuruka na ndege mara ya pili...
Alishuka na mateka baada ya kupewa mshiko wake.....then marubani ndio wakamaliza mchezo wote......tena hata ile choice ya kujifanya alitumia parachute za kujifunzia. Waliifanya maksudi ili fbi wajue jamaa lazima atakua amekufa
Je zile hela nyingine alizo ziokota yule dogo wakati anachimba arthini kule beach akiwa na familia yake zilitoka wapi?
 
Naona tunawaza kitanzania zaidi.
Tunapo-conclude kuwa mchezo mzima ulimalizwa kwenye ndege na jamaa alishuka na mateka tujiulize;

1. Kama alishuka na mateka ina maana hakuonekana kabisa kabisa na wahudumu wote wa uwanja na wana usalama wote pamoja na FBI!
Lile begi la mapesa na ukubwa wake halikuonekana kabisa jamani!

2. Kama alishuka pale uwanjani, ni nani aliwafungia wale wahudumu wanne kwenye cockpit yaani pilot wawili, fundi na yule dada mhudumu maana tunaambiwa Cooper ndiye aliyewafungia, tena ndege ikiwa imeshapaa.
Kwa hiyo dhana ya kusema jamaa alishuka na abiria pale uwanjani inafutika kabisa.

3. Ni dhahiri wakati wametua kwenye uwanja wa Reno Navada ile usiku, (ambao ni lazima ulikuwa na ulinzi wa kutosha) waliomba msaada kwa wanausalama wawafungulie mlango wa cockpit kwa sababu walikuwa wamefungiwa na mtaalam Cooper. Na kama mlango ulionekana umefungwa kweli, basi ni dhahiri kabisa Cooper aliruka kwenye ile ndege, yaani aliondoka nayo na hakufika nayo.

4. Tunapohitimisha kuwa lile ni dili lililopangwa na FBI, ina maana hawakufikiria kabisa kuwa zile noti zingekuwa recorded! Walishindwa kufanya maandalizi ya kumpanga kabla mtu/watu watakatoa wazo la kuchukua alama za zile noti ili wafanye tofauti au wasitoe wazo! Kwa sababu huyu ndiye aliyeharibu dili kwa kiasi kikubwa.

5. Kama kweli hii ni dili iliyochezwa na watu wengi, basi walifanikikiwa kwa kila hatua kiasi kwamba kila mhudumu wa wiwanja vyote viwili alijua kila kitu kwa kweli walikuwa wasiri sana.

KAMA HAWA JAMAA WANGEKUWA WANAWAZA KITANZANIA KAMA SISI KWA KUWA NA MAJIBU RAHISI KWA MASWALA MAGUMU, NI DHAHIRI MAJIBU YANGESHAPATIKANA SAA 24 TU MARA BAADA YA NDEGE KUTUA NEVADA. MTU/WATU WANGEKUWA WANAOZEA JELA SASA HIVI.
 
Thanks mkuu The Bold, umenifanya nipate free lunch week nzima huku ofisini, muda wa lunch nakusanya member wangu wa ofisini nawapa hii story wao kazi yao kulipia lunch na nilivoigroup hii story taimaliza kuwaadithia ijumaa, mzuka walio nao sio kidogo, jana kuna demu kidogo nikalale nae ili tu nimuadithie hii story hadi mwisho, nikatia ngumu coz hana yale mambo yetu.
Hahahah! Umetisha sana mkuu..
 
Baadae kabisa anakiri kwa Michael kuwa hakulipwa dola milioni tano kama inavyoripotiwa kwenye vyombo vya habari bali alilipwa dola milioni tano.

Mkuu @Thebold hapo sijakuelewa
 
Tamu kama noti

•.¸¸.•♥´¨`♥•.¸
الســـــــلام عليــــكم •.¸¸.•♥
.*""*.*""*. * MCHANA ¤
"*. .*"
"*" MWEMA,
 
Baadae kabisa anakiri kwa Michael kuwa hakulipwa dola milioni tano kama inavyoripotiwa kwenye vyombo vya habari bali alilipwa dola milioni tano.

Mkuu @Thebold hapo sijakuelewa
Typing error mkuu! Nashukuru kwa kuliona hilo..

Nimekwisha rekebisha, sasa inasomeka..

"Baadae kabisa anakiri kwa Michael kuwa hakulipwa dola milioni MOJA kama inavyoripotiwa kwenye vyombo vya habari bali alilipwa dola milioni TANO"
 
Divine..., glory to yhwh, Nifah, BansenBurner, Alisen, Papushikashi, Magazine Fire, miss chagga, succinate coA hydrogenase, SANCTUS ANACLETUS, mngony, Excel, Mussolin5, Jimena, Inferiority Complex, gwijimimi, wambura marwa, Hoshea, Shareef Conscious,
Hata m naamin kuna uhusika flan wa FBI au Cooper alikua jini
 
Naona tunawaza kitanzania zaidi.
Tunapo-conclude kuwa mchezo mzima ulimalizwa kwenye ndege na jamaa alishuka na mateka tujiulize;
1. Kama alishuka na mateka ina maana hakuonekana kabisa kabisa na wahudumu wote wa uwanja na wana usalama wote pamoja na FBI!
Lile begi la mapesa na ukubwa wake halikuonekana kabisa jamani!

2. Kama alishuka pale uwanjani, ni nani aliwafungia wale wahudumu wanne kwenye cockpit yaani pilot wawili, fundi na yule dada mhudumu maana tunaambiwa Cooper ndiye aliyewafungia, tena ndege ikiwa imeshapaa.
Kwa hiyo dhana ya kusema jamaa alishuka na abiria pale uwanjani inafutika kabisa.

3. Ni dhahiri wakati wametua kwenye uwanja wa Reno Navada ile usiku, (ambao ni lazima ulikuwa na ulinzi wa kutosha) waliomba msaada kwa wanausalama wawafungulie mlango wa cockpit kwa sababu walikuwa wamefungiwa na mtaalam Cooper. Na kama mlango ulionekana umefungwa kweli, basi ni dhahiri kabisa Cooper aliruka kwenye ile ndege, yaani aliondoka nayo na hakufika nayo.

4. Tunapohitimisha kuwa lile ni dili lililopangwa na FBI, ina maana hawakufikiria kabisa kuwa zile noti zingekuwa recorded! Walishindwa kufanya maandalizi ya kumpanga kabla mtu/watu watakatoa wazo la kuchukua alama za zile noti ili wafanye tofauti au wasitoe wazo! Kwa sababu huyu ndiye aliyeharibu dili kwa kiasi kikubwa.

5. Kama kweli hii ni dili iliyochezwa na watu wengi, basi walifanikikiwa kwa kila hatua kiasi kwamba kila mhudumu wa wiwanja vyote viwili alijua kila kitu kwa kweli walikuwa wasiri sana.

KAMA HAWA JAMAA WANGEKUWA WANAWAZA KITANZANIA KAMA SISI KWA KUWA NA MAJIBU RAHISI KWA MASWALA MAGUMU, NI DHAHIRI MAJIBU YANGESHAPATIKANA SAA 24 TU MARA BAADA YA NDEGE KUTUA NEVADA. MTU/WATU WANGEKUWA WANAOZEA JELA SASA HIVI.
Hhahahah mkuu umekula like yangu ya nguvu. Pengine hawa watu wanaosema Cooper alishuka awali inaamisha either hawakusoma maelezo vizuri kuwa ndani ya ndege kwenye sehem ya abiria walikaa Cooper mwenywe na mdada muhudumu. Kama watakuwa wamesoma hapo basi wengi watakuwa na mentality ya kibongo kuwa yule alikuwa ni jini sio Cooper.
 
Hili ni tatizo la sisi watanzania wengi.
Kitu ambacho unatakiwa uumize kichwa kwa muda mwingi na kutoka na majawabu mujarabu, sisi tunafikiria kwa dakika 2 na kutoa majibu rahisi tu.
Na ndio maana mtu akitumia akili kubwa kufanya jambo fulani, sisi badala ya kuumiza kichwa kujua namna alivyofanya, tunaishia kuhitimisha kuwa jambo hilo haliwezekani, huyu si binadamu wa kawaida.
Kumbe kiuhalisia hilo jambo linakuwa haliwezekani kutokana na upeo wetu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom