D.B. Cooper: Tukio halisi la kusisimua lililogeuka hadithi ya 'Alfu lela ulela'

Kaka leo nimeangalia tamthiliya ya Hawaii Five-0 S03E07 wamezungumzia kidogo kisa cha Cooper kuna mtu alijaribu kumcopy Cooper kidogo, kila walichokiongea ulikiandika kwenye huu uzi hongera sana mkuu kwa jitihada zako BTW tunakuombea uzima kesho utuporomoshee vitu
 
Wakuu kesho j'pili tar 9/10 naweka stori mpya..

Kaka leo nimeangalia tamthiliya ya Hawaii Five-0 S03E07 wamezungumzia kidogo kisa cha Cooper kuna mtu alijaribu kumcopy Cooper kidogo, kila walichokiongea ulikiandika kwenye huu uzi hongera sana mkuu kwa jitihada zako BTW tunakuombea uzima kesho utuporomoshee vitu
 
kuna sehemu ulisema noti hali .... litakuwa na maana huko mbele, mbona mpaka mwisho wa alfu lela ulelesijaona
 
Back
Top Bottom