D.R.C Taifa lililolaniwa tangu wapate Uhuru

N Nyonga hao kuluna mpaka akili ikawe sawa
 
Ni nchi gani isiyolaaniwa Afrika?
 
Tanzania tunatakiwa tumfukuze barozi wa DRC ili kuonesha hatujapendezwa na kunyongwa Kwa vijana.kuua siyo njia sahihi ya kumaliza tatizo,Tatizo la kuwepo Kwa hayo magenge yalitokana na serikali yenyewe kutokutengeneza mazingira mazuri Kwa watu.
Mkuu Mapinduzi ukifanya hakikisha yanafanikiwa . Yasipofanikiwa ukinaswa hamnaga adhabu yenye nafuu. Angalau nafuu zaidi ni jela ya mateso ya muda mrefu kizuizini. Adhabu kubwa zaidi ya lazima ni kifo. Hii ipo dunia nzima. Bila kujali umefanya hivyo kwasababu Gani.. adhabu ni kifo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…