D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo

Mzalendo Uchwara

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2020
Posts
5,146
Reaction score
15,927
It's very unlikely hiyo D25 kwa watu kotoka na kuandamana kwa wingi kama ilivyokuwa O29.

Ila hilo ndio lengo halisi, serikali ijitutumue kisha ionekane inakandamiza haki za wakristo, siku ya Krismasi wamefungiwa ndani.

Ukisoma kwa makini matamko ya serikali ya Marekani pamoja na baadhi ya maseneta utaona kuwa huo ndio mtazamo wao, kuwa serikali ya chinjachinja inawalenga wakristo, viongozi wa makanisa na makanisa yenyewe kwa ujumla.

Kwahiyo watu wakifungiwa ndani ita 'reinforce' mtazamo huo. Na kwenye ukandamizwaji wa wakristo Donald Trump na chama chake cha Republicans wako very sensitive.

Chinjachinja uamuzi ni wako, una hiyo dilema, wakristo watoke kushereke / kuandamana siku ya kuzaliwa Kristo au uwafungie.

Wanaoandaa haya maandamano nilikuwa nawachulia poa ila inaonekana wana ujuzi flani, kijeshi wanasema mtengenezee adui yako 'dilema' na sio 'problem'.
 
Masheikh baadhi yao uwenda watajitokeza hivi karibuni wakishapikiwa UBWABWA aka cha mtume baasi hawanaga mambo meeengi wataropoka lolote lile, watatoa tamko wakristo wanataka kuleta udini kwny krismas..
 
Kaandamane ufe. Wapumbavu kama akili ndio hizi...mnataka kuharibu nchi na amani na zaidi mnataka kuwavurugia waumini wa kikristo sherehe zao na maandamano yenu ya ******* . Andamaneni mkafe manyoko
Wewe ni simple minded self-centered coward. Watu kama wewe hauwezi ku sacrifice chochote for the greater good.

Wewe ukiwa na hiyo 'amani' na plate yako ya ubwabwa basi umemaliza matatizo unajiona 'mwarabu' kabisa. Haujali wengine kama wanayo hiyo 'amani' au la.
 
Mnufaika huyu usimalize Calorie achana nayo.
 
Chinjachinja uamuzi ni wako, una hiyo dilema, wakristo watoke kushereke / kuandamana siku ya kuzaliwa Kristo au uwafungie.
Rekebisha andiko lako, wakristo huwa hatuandamani siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, bali tunaenda ibadani.

Ni ubinafsi na upumbavu kupanga maandamano siku ya ibada ya nusu ya watanzania.
Bado tuna safari ndefu ya kupata viongozi wenye kuheshimu haki za kila mmoja wetu kwa usawa.

Kupanga maandamano siku ya X-mas ni kuonyesha dhahiri kwamba viongozi wa Gen Z hawaheshimu haki na uhuru wa wengine wa kuabudu na kuadhimisha shughuli zao za kiimani.

Nilikua naunga mkono maandamano mpaka hili pendekezo la D25 lilipotoka, acha hawa madhalimu waendelee kutugalagaza, maana hata huo mbadala inaonekana utakua wa hovyo tu.
 
Wewe ni simple minded self-centered coward. Watu kama wewe hauwezi ku sacrifice chochote for the greater good.

Wewe ukiwa na hiyo 'amani' na plate yako ya ubwabwa basi umemaliza matatizo unajiona 'mwarabu' kabisa. Haujali wengine kama wanayo hiyo 'amani' au la.
Sasa kama nyinyi ni mashujaa mbona mnashibda mitandaoni kutia tia huruma?
 
😂😂 Kaandamane dogo ...hio ndio level yako
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Nipo hapa si kwa ajili ya kutia huruma kwa matitzo ya kujitafutia.
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.
Ccm is the ruling party of Tanzania government under Samia Suluhu hassan
 
Sasa kama nyinyi ni mashujaa mbona mnashibda mitandaoni kutia tia huruma?
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Rekebisha andiko lako, wakristo huwa hatuandamani siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, bali tunaenda ibadani.

Ni ubinafsi na upumbavu kupanga maandamano siku ya ibada ya nusu ya watanzania.

Bado tuna safari ndefu ya kupata viongozi wenye kuheshimu haki za kila mmoja wetu kwa usawa.

Kupanga maandamano siku ya X-mas ni kuonyesha dhahiri kwamba viongozi wa Gen Z hawaheshimu haki na uhuru wa wengine wa kuabudu na kuadhimisha shughuli zao za kiimani.

Nilikua naunga mkono maandamano mpaka hili pendekezo la D25 lilipotoka, acha hawa madhalimu waendelee kutugalagaza, maana hata huo mbadala inaonekana utakua hovyo tu.
Hahaha me nachofurahi tu hata wale wanaojiona mambo ya siasa wao hapana eti wapo neutral na wao wana wanaaathiriwa , mpaka tuzungumze lugha moja wote.
 
Back
Top Bottom