ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 7,637
- 20,676
Na ndio maana mnaitwa wafuata mikumbo hamjui hata mnacho kipigania?Hahaha me nachofurahi tu hata wale wanaojiona mambo ya siasa wao hapana eti wapo neutral na wao wana wanaaathiriwa , mpaka tuzungumze lugha moja wote.
Ww kama unaandamana ili kudai haki unazo ziona ni za maana kwako iweje umuharibie mtu mwingine kutimiza haki yake ambayo na yeye ina maana kubwa kwake?
Yaani unataka ccm itambue haki yako lakini wakati huo ww hutaki kutambua haki ya mwenzio?