Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 5,146
- 15,927
Amezungukwa na viazi, wanamdanganya kwa kupiga 'visomo' hapo ikulu.Masheikh baadhi yao uwenda watajitokeza hivi karibuni wakishapikiwa UBWABWA aka cha mtume baasi hawanaga mambo meeengi wataropoka lolote lile, watatoa tamko wakristo wanataka kuleta udini kwny krismas..
Wewe ni simple minded self-centered coward. Watu kama wewe hauwezi ku sacrifice chochote for the greater good.Kaandamane ufe. Wapumbavu kama akili ndio hizi...mnataka kuharibu nchi na amani na zaidi mnataka kuwavurugia waumini wa kikristo sherehe zao na maandamano yenu ya ******* . Andamaneni mkafe manyoko
Mnufaika huyu usimalize Calorie achana nayo.Wewe ni simple minded self-centered coward. Watu kama wewe hauwezi ku sacrifice chochote for the greater good.
Wewe ukiwa na hiyo 'amani' na plate yako ya ubwabwa basi umemaliza matatizo unajiona 'mwarabu' kabisa. Haujali wengine kama wanayo hiyo 'amani' au la.
Mnufaika wa AMANI ..sio mnufaika wa pesa za wafadhili kufanya fujo kwenye nchi na kutaka kupindua serikali ...Mnufaika huyu usimalize Calorie achana nayo.
Rekebisha andiko lako, wakristo huwa hatuandamani siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, bali tunaenda ibadani.Chinjachinja uamuzi ni wako, una hiyo dilema, wakristo watoke kushereke / kuandamana siku ya kuzaliwa Kristo au uwafungie.
Sasa kama nyinyi ni mashujaa mbona mnashibda mitandaoni kutia tia huruma?Wewe ni simple minded self-centered coward. Watu kama wewe hauwezi ku sacrifice chochote for the greater good.
Wewe ukiwa na hiyo 'amani' na plate yako ya ubwabwa basi umemaliza matatizo unajiona 'mwarabu' kabisa. Haujali wengine kama wanayo hiyo 'amani' au la.
Amani ya nchi ilishaharibiwa na CCM kwa kuteka watu kama panzi.Kaandamane ufe. Wapumbavu kama akili ndio hizi...mnataka kuharibu nchi na amani na zaidi mnataka kuwavurugia waumini wa kikristo sherehe zao na maandamano yenu ya ******* . Andamaneni mkafe manyoko
Kwani wewe uko wapi hapaSasa kama nyinyi ni mashujaa mbona mnashibda mitandaoni kutia tia huruma?
Nipo hapa si kwa ajili ya kutia huruma kwa matitzo ya kujitafutia.Kwani wewe uko wapi hapa
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.😂😂 Kaandamane dogo ...hio ndio level yako
There is every reason and every circumstance to declare that CCM is not a political party; CCM is a terrorist organization. From now on, the world must place it on the list of terrorist organizations.Nipo hapa si kwa ajili ya kutia huruma kwa matitzo ya kujitafutia.
Sheikh Sharifu majini alivyokufa kwa risasi tarehe October 29, aliandamania wapi yeye?Kaandamane ufe.
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??Sasa kama nyinyi ni mashujaa mbona mnashibda mitandaoni kutia tia huruma?
Hahaha me nachofurahi tu hata wale wanaojiona mambo ya siasa wao hapana eti wapo neutral na wao wana wanaaathiriwa , mpaka tuzungumze lugha moja wote.Rekebisha andiko lako, wakristo huwa hatuandamani siku ya kuzaliwa Yesu Kristo, bali tunaenda ibadani.
Ni ubinafsi na upumbavu kupanga maandamano siku ya ibada ya nusu ya watanzania.
Bado tuna safari ndefu ya kupata viongozi wenye kuheshimu haki za kila mmoja wetu kwa usawa.
Kupanga maandamano siku ya X-mas ni kuonyesha dhahiri kwamba viongozi wa Gen Z hawaheshimu haki na uhuru wa wengine wa kuabudu na kuadhimisha shughuli zao za kiimani.
Nilikua naunga mkono maandamano mpaka hili pendekezo la D25 lilipotoka, acha hawa madhalimu waendelee kutugalagaza, maana hata huo mbadala inaonekana utakua hovyo tu.