D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo

Hahaha me nachofurahi tu hata wale wanaojiona mambo ya siasa wao hapana eti wapo neutral na wao wana wanaaathiriwa , mpaka tuzungumze lugha moja wote.
Na ndio maana mnaitwa wafuata mikumbo hamjui hata mnacho kipigania?
Ww kama unaandamana ili kudai haki unazo ziona ni za maana kwako iweje umuharibie mtu mwingine kutimiza haki yake ambayo na yeye ina maana kubwa kwake?
Yaani unataka ccm itambue haki yako lakini wakati huo ww hutaki kutambua haki ya mwenzio?
 
Hahaha me nachofurahi tu hata wale wanaojiona mambo ya siasa wao hapana eti wapo neutral na wao wana wanaaathiriwa , mpaka tuzungumze lugha moja wote.
Kwa dhati kabisa, nasikitika.

Wamefanikiwa kuhamisha mapambano, kutoka kwenye "wote kwa umoja wetu kama watanzania kuipinga Serikali na matendo yake yasiyofaa"; na kwenda kwenye "kunyang'anyana haki zetu wenyewe kwa wenyewe na kutengeneza mipasuko".

Tunaenda mbali na kuharibu shughuli za kiimani za zile taasisi ambazo ndiyo zilikua zinatupa sapoti kubwa kwenye harakati zetu.

Bado kuna watu kama nyie ambao hamuoni kwamba "ni hii serikali tusiyoitaka ambayo inanufaika na haya yote πŸ€¦β€β™€οΈ".

Inasikitisha sana, tusimalize maneno, acha tuone itakavyokua.
 
Kaandamane ufe. Wapumbavu kama akili ndio hizi...mnataka kuharibu nchi na amani na zaidi mnataka kuwavurugia waumini wa kikristo sherehe zao na maandamano yenu ya ******* . Andamaneni mkafe manyoko
sasa tukifa sisi wewe kiazi wa ccm ukabaki si inapaswa ufurahi? kutaka kufa nitake mimi then uoga upate wewe? basi una matatizo ya akili shogaangu, uchawa umekuondolea hata akili ya kuchanganua vitu. Ukiacha kuwapa wanaume wenzio utapata akili shogaangu, pole
 
Sasa hivi zitapigwa muelekeo wa makanisani na kama kiwake ndio poa sisi tunaitaka hio vita
 
Kuabudu unamuabudu Mungu gani huyo ,Mungu mnafiki anayekubali ibada za watu washenzi wabinafsi wanaoshirikiana na wadhalimu wauaji na washenzi . Mungu gani anayepokea maomvi na Ibada kwenye nchi inayo nuka Damu zisizo na hatia ,Maombi ya Jamii ya watu wanafiki na waoga wasio ungana na kukemea au kupambana na uovu .Hayo makanisa au misikiti no bora ichomwe moto Kabisa
 
Kwani wewe Mungu wako anachagua watu wa kupokea maombi yao?
Sie wa kwetu anataka hao wakosaji ndiyo wamrudie, nyie wasafi endeleeni tu na mambo mengine.
 
Nasikia huko clubhouse lengo ni jan12
 
Wewe ***** mkristo wa mkundV wako labda , mvaa kobazi mpumbavu usiye na akili .....Hanna mkristo anayepinga maandamano tarehe 25 ,mbwa wewe .Kakamue kinyesi cha maiti mvaa kobazi
Hayo ndio maisha yako hayatakua na mbele wala nyuma utabakia kutukana Hadi mwisho wa maisha yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nimekaa paleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…