D25 ni mtego mwingine kwa Chinjachinja, asivyo na akili atauvaa kama ulivyo


I doubt kwamba unafanya Matumizi sawa ya akili, kwani Dec 9 ( as a standard ) ilikuwa na uhusiano gani na wa Kristo?
 
Kama kweli ungetaka kufa tarehe 29 baada ya kuambiwa kila mtu ndani ungebaki nje mbona alikimbilia ndani kujificha?
 
Bado tunakumbuka ndugu zetu waliouwawa October! Na hatujapata kuwazika kama waliwala mishikaki waseme D25 atue na sisi tuliobakia
 
Wacha serikali iingie tu kwenye mfumo. Unawastua wa nini?
Tujue dola inalindwa.

Ila namna ya kulinda dola kwa Africa tusipojiepusha tutakufa kama kuku.

Hakuna mtawala Africa anaogopa kuuwa ili abaki madarakani, niambieni, ya Kenya, Ethiopia, Rwanda, Uganda, nk.

Hakuna mtawala Africa anaogopa maandamano mradi ana jeshi na bunduki. Madagascar llitokea bahati tu.

Labda ndani ya jeshi au chama au matajiri wanaopora mali pamoja wamgeuke na si vinginevyo.
 
Kama kweli ungetaka kufa tarehe 29 baada ya kuambiwa kila mtu ndani ungebaki nje mbona alikimbilia ndani kujificha?
Mbona unajiaibisha shogaangu, hakuna alieandamana ili atake kufa, tuliandamana tena kwa amani, ila hao mnaowaita viongozi wenu ndio wakaua watu ili wasiachie nchi ambayo hawatakiwi. Uache mchezo wa kuingiliwa nyuma akiri zikurudie shogaangu, mwanaume unakuaje mjingamjinga hivi?
 
Kama mliandamana kwa amani miundo mbinu iliyo chomwa ,maduka yaliyo porwa hivyo vyote vilifanya na malaika toka mbingun?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…