D9 on the way: Haya ndio matukio 10 kutokea hayatosahaulika tangia tupate uhuru

Mwaka 1984
Aliyekuwa rais wa Zanzibar na Makamo wa rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Aboud Jumbe Mwinyi alivuliwa uanachama wa CCM na hivyo kupoteza vyeo vyake vyote vya kisiasa kwa hila za wasaidizi wake.
Sababu iliyopelekea hilo ni yeye kuwaongoza wana CCM wa Zanzibar kudai serikali 3 ndani ya Muungano.

Mwaka 1988.
Wanachama 5 waandamizi wa CCM ambao pia walikuwa wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM.

1. Seif Sharrif Hàmad
2. Hamad Rashid Mohamed
3.Soud Yusuf Mgeni
4.Hamis Shabaan Mloo
5. ......Nimemsahau.
Walivuliwa uanachama wa CCM baada ya kudai Muungano wa serikali 3.
Ikumbukwe wakati mzee Aboud Jumbe anasurubiwa kwenye kikao kilichomvua gamba mjini Dodoma hawa walimtenga na kujifanya wao hawaijui hoja hiyo.
 
March 17 2021 is the biggest of all
 
Huko mbele ongeza na kifo cha bi chura the butcher!
 
Aboud Jumbe hakufukuzwa uanachama wa CCM bali alivuliwa Nyadhifa za Umakamu wa Rais wa Muungano na Urais wa Zanzibar. Pia alipelekwa Kigamboni
 
Aboud Jumbe hakufukuzwa uanachama wa CCM bali alivuliwa Nyadhifa za Umakamu wa Rais wa Muungano na Urais wa Zanzibar. Pia alipelekwa Kigamboni
Aboud Jumbe alivuliwa uanachama wa CCM na hivyo kupoteza vyeo vyake vya kisiasa.
Aliyekuwa Waziri Kiongozi kwenye serikali yake Brigedia Ramadhani Haji Faki aliondolewa kwenye wadhfa huo lakini amebaki kuwa mwanachama wa CCM.
 
Your browser is not able to display this video.
 
2026 kutakuwa na matukio makubwa ya kuhuzumisha
 
9 December 2025, Samia kufurushwa ikulu. Hili litakumbukwa daima.
 
4•••fisadi 3 kubwa nchini za EPA( 2005), RICHMOND (2008) na ESCROW (2014) ambazo zimeacha funzo kubwa sana kwa watanzania wengi.
Zote hizo hukosi mmikono ya Kikwete na Roastam

2025... Samia Suluhu Hassan mwanamke mwenye ulaghai usio na kikomo; aliyejaa uovu, is NO MORE.
 
Uandishi mwingine, da sasa mbona hata —- chronicle of events haipo!! Haaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…