Nitakuwepo ndani nikinywa flying fish zangu taratibuu 😁Kwani wee hutokuwepo mahii?? 😂😂😂
Ndugu zako wa Mianzini waamke mapema.. wakiwasha tyre mbili zinatosha kuhalalisha ka holiday 🤣Ni balaa sana 😀😀
Wasikusahau walau shaba moja ya kichwa 😁 itakutoshaUsisahau ukipigwa na dyudyu kubwa ulikopa sana pesa zake za batazari
Kuna mjomba wangu huko kasema anajambo lake siku hiyoNdugu zako wa Mianzini waamke mapema.. wakiwasha tyre mbili zinatosha kuhalalisha ka holiday 🤣
😀😀😀 Enjoy the showNitakuwepo ndani nikinywa flying fish zangu taratibuu 😁
Masta mbona umepandisha kisukari tenaKwani hapa duniani umazaliwa na flyingfish unayojifungia ndani
napokaaa hakuna wahalifumaliza nchi nzima ukishamaliza wakumalize na wewe ukosekane
Ubinafsi huo mahii, 😂😂😂😂Nitakuwepo ndani nikinywa flying fish zangu taratibuu 😁
Kuna dalili zimeshaanza kuonekana huyu mfungeni kamba kama msipo fanya hivyo mnaenda kujifunga wenyewe.
Utekaji umekuwa mkubwa sana yani leo hata ambaye sio mpinzani anatekwa.
Ili kundi kuna siku tukija kushtuka familia za wao nazo zitatekwa.
D9 ndio itakuwa machinjio ya kujuana kila aina ya rangi.
Kwani kuna ambaye hatakufa?Mtakufa vibaya acha mapepe kaa ndani ume ambiwa ni siku ya mapumziko
Bro kumradhi 🙏Kwani kuna ambaye hatakufa?
Usijibizane nalo hilo ni ***** la Abduli, limeshaleft group siku nyingi.maliza nchi nzima ukishamaliza wakumalize na wewe ukosekane
Najua utakua unakanda zako visheti wakati wanaume tukilipambania taifaMtakufa vibaya acha mapepe kaa ndani ume ambiwa ni siku ya mapumziko
Ukae ndani ukae nje kufa kupo palepale, shauri yakooMtakufa vibaya acha mapepe kaa ndani ume ambiwa ni siku ya mapumziko