Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
Nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi Trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya.