PostGE2025 D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize Uchaguzi Tanzania urudiwe

PostGE2025 D9 tubebe mabango ya kumuomba Trump ashinikize Uchaguzi Tanzania urudiwe

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unadhani Trump kakaa anawaza Tanzania? Tuache kujipa umuhimu.

Hao waSudan ambao dunia nzima inawajua wapo wanauana mwaka wa pili huu, baada ya CIA kufacilitate maandamano kupitia kale kadada na kumuondoa Omar Al Bashir.

Tulia fanya shughuli zako Trump hajui hata Tanzania ilipo kwenye ramani
📌
 
Lkn Trump hafanyi kazi ya Kanisa:

Ukraine amesaidia kwa sharti la kupewa madini adimu toka nchi hiyo.

Jana amewaita Kagame na Shisekedi kwa sharti la kupata umiliki mkubwa wa madini huko DRC.

Hapa bongo akija atataka tumuachie mikoa yote ya Kanda ya ziwa na mlima Kilimanjaro.

Naomba tupambane zaidi, huyu mama ni mwepesi sana. Si mnaona kapaniki?
Bora hata afanye hivyo lakini ahakikishe hawa Malaya wametoka.
 
MIMI KAMA YULE JAMAA WA YANGA NAWAKARIBISHA.AWAMU HII NITAKUJA NA MOTO MARA SABA YA MOTO NILIOUWASHA SIKU YA MWANZO.AMANI NITAILINDA KWA GHARAMA YEYOTE
 
Back
Top Bottom