Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
good idea.....D9 tubebe mabango ya kumuomba trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya,
ukiweza wabebe ata wagombea wa chadomoD9 tubebe mabango ya kumuomba trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya,
Huna akiliukiweza wabebe ata wagombea wa chadomo
Tukifanya hivyo, ataendelea kutuita shitholes countries. Hizi changamoto tuzimalize wenyewe bila kuingiliwa na yeyote. Tunaweza tuache utegemezi Watanzania.trump
Umeandika madini matupu. Thanks a lot. Bila super power kumshinikiza huyu ktu, tumekwisha.D9 tubebe mabango ya kumuomba trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya,
Ndugu yangu usidanganyike, mataifa haya makubwa yenye nguvu yana nafasi kubwa sana ya kusaidia mapambano ya haki dhidi ya watawala dhulumati wa Afrika.Trump ana nguvu gani ya kuamrisha sovereign country kurudia uchaguzi? Consequences za kupinga ni zipi?
Unadhani Trump kakaa anawaza Tanzania? Tuache kujipa umuhimu.D9 tubebe mabango ya kumuomba trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya,
Kuna watu wameshamfanya President Trump ni Babu yao, kila uchafu wanamtupia yeye kama yeye mwenyewe hana shughuli nyingine za kufanya ila yuko pale kushughulikia matatizo ya dunia, bila kujua USA anaingia sehemu ambayo akiona interest zake zinaathirika, nje ya hapo huwa hawajishughulishi.Trump ana nguvu gani ya kuamrisha sovereign country kurudia uchaguzi? Consequences za kupinga ni zipi?
Nenda ukamwambie yule anaeuliza "WHO ARE YOU?" Kwamba hao unaowauliza WHO ARE YOU? ndio walikudunga sindano ya Corona, aache ngebe za kifurugobe yeye mwenyewe anaogopa kufabila kujua USA anaingia sehemu ambayo akiona
Unadhani Trump kakaa anawaza Tanzania? Tuache kujipa umuhimu.D9 tubebe mabango ya kumuomba trump ashinikize kurudiwa kwa uchaguzi Tanzania bila kusahau bendera ya Tanzania na USA kuonesha mshikamano atajibu.
nina uwakika mualiko huu wa umma moja kwa moja utarushwa kila pembe ya dunia utamshawishi trump kuingilia na kuunga mkono watanzania.
Hapa mtakuwa mmepiga hatua kubwa sana maandamano yanahitaji support pia, Gen z wanahitaji support zaidi ya dunia ili kufanikisha ndoto yao ya kuiona Tanzania mpya,
Wanadhani Trump ana muda wa kukaa kusoma Barua za Mange Kimambi 😄Kuna watu wameshamfanya President Trump ni Babu yao, kila uchafu wanamtupia yeye kama yeye mwenyewe hana shughuli nyingine za kufanya ila yuko pale kushughulikia matatizo ya dunia, bila kujua USA anaingia sehemu ambayo akiona interest zake zinaathirika, nje ya hapo huwa hawajishughulishi.