MawardatDellapina
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 30,232
- 152,252
📌Unadhani Trump kakaa anawaza Tanzania? Tuache kujipa umuhimu.
Hao waSudan ambao dunia nzima inawajua wapo wanauana mwaka wa pili huu, baada ya CIA kufacilitate maandamano kupitia kale kadada na kumuondoa Omar Al Bashir.
Tulia fanya shughuli zako Trump hajui hata Tanzania ilipo kwenye ramani
Bora hata afanye hivyo lakini ahakikishe hawa Malaya wametoka.Lkn Trump hafanyi kazi ya Kanisa:
Ukraine amesaidia kwa sharti la kupewa madini adimu toka nchi hiyo.
Jana amewaita Kagame na Shisekedi kwa sharti la kupata umiliki mkubwa wa madini huko DRC.
Hapa bongo akija atataka tumuachie mikoa yote ya Kanda ya ziwa na mlima Kilimanjaro.
Naomba tupambane zaidi, huyu mama ni mwepesi sana. Si mnaona kapaniki?
Kamuulize Maduro wa VenezuelaTrump ana nguvu gani ya kuamrisha sovereign country kurudia uchaguzi? Consequences za kupinga ni zipi?