Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Alisajiriwa bahati mbaya na simba?? Hebu fafanua kiongoziYule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .
Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .
View attachment 2136584
Huyu walimwajiri kwa mudaYule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .
Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .
View attachment 2136584
kama ambavyo Yanga hajafungwa hata goli moja katika hatua ya makundi ya CAF CL au CAF CCNadhani Mauritania haikufunga goli hata moja kwenye AFCON
Wewe hujui kiswahili kuanzia lini ?Alisajiriwa bahati mbaya na simba?? Hebu fafanua kiongozi
hahahaha.Nadhani Mauritania haikufunga goli hata moja kwenye AFCON
Bahati mbaya au chupli chupli zenu?Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .
Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .
View attachment 2136584
Kocha huajiriwa ili kufukuzwaYule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .
Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .
View attachment 2136584
Tukikuita chizi tutakuwa tumekupendelea Mauritania na yanga wapi na wapi?kama ambavyo Yanga hajafungwa hata goli moja katika hatua ya makundi ya CAF CL au CAF CC
Mkuu , huyo ni mgagagigikoko . Kiswahili kajifunza jana.Wewe hujui kiswahili kuanzia lini ?