Da Rosa Afungashiwa virago Mauritania

Da Rosa Afungashiwa virago Mauritania

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .

Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .

BREAKING%3A_Aliyekuwa_kocha_wa_Klabu_ya_Simba_SC%2C_Didier_Gomes_Da_Rosa_ametimuliwa_kama_koch...jpg
 
Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .

Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .

View attachment 2136584
Alisajiriwa bahati mbaya na simba?? Hebu fafanua kiongozi
 
Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .

Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .

View attachment 2136584
Huyu walimwajiri kwa muda

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Makolo ni kawaida yao kuokota makocha wa bei Chee, subiri hata huyu wa Real Madrid ya Buza atafurushwa.
 
Yule kocha asiye na vyeti aliyeajiriwa kwa bahati mbaya na Simba na baadaye kumtimua baada ya kumstukia , Amefungashiwa virago na timu ya Taifa ya Mauritania iliyomsitiri kwa muda .

Da Rosa aliiongoza Timu hiyo kwenye michuano ya Afcon ilikong'olewa mapema asubuhi .

View attachment 2136584
Kocha huajiriwa ili kufukuzwa
 
Mauritania nao wanajitutumua tu, timu bado changa ile kitendo cha kufuzu AFCON pekee ilikuwa ni faida tosha kwao, wajifunze kuwa na subira.
 
Back
Top Bottom