Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

nashukuru io pcha haijafunguka kwangu,,maana kwa maelezo ya watu apa🙌🏾🙌🏾
 
Usiseme hivyo!🥺 hakuna anayeombea kifo
Sio sawa unajua..
Hivi Ephen, unakimbiza pikipiki kwa speed na mazoea na uendeshaji wa hovyo, huku umelewa, unategemea nini?

Kama yeye mwenyewe hajionei huruma, kuna haja gani ya sisi wengine kumuonea?

Sawa, kifo hakuna apendaye ila kuna vitendo vya hovyo vinavyohatarisha usalama wako na kukukaribisha zaidi na mwisho wa uhai wako.

Akalale huko.
 
Hakuna kitu kibaya kamaa ukaovertake alafu ukashindwa kumaliza huwa unakua kwenye wakati mgumu hata ukisimama lazima ugongwe kitakacho kusaidia labda uchochore nje ya barabara , sasa dereva wa gari ya mbele yako nae akiwa na mawazo kama yako mnaenda kukutania tena huko nje ya barabara.
 
Masikitiko makubwa mno, haraka na mwendo kasi ni aina nyingine ya hatati kwa uhai wa mwanadamu, inaweza kuchuliwa tahadhari maana ipo ndani ya uwezo wa mwanadamu , tunamuomba Mungu atujalie kufahamu hilo.
 
Hivi Ephen, unakimbiza pikipiki kwa speed na mazoea na uendeshaji wa hovyo, huku umelewa, unategemea nini?

Kama yeye mwenyewe hajionei huruma, kuna haja gani ya sisi wengine kumuonea?

Sawa, kifo hakuna apendaye ila kuna vitendo vya hovyo vinavyohatarisha usalama wako na kukukaribisha zaidi na mwisho wa uhai wako.

Akalale huko.
Okay
 
Hii picha ni kama ime-setiwa kinamna, yaani ni kama tukio la kuigiza. Sijui lakini, pengine nimekosea.
Nimeshuhudia Kwa macho yangu ajari kama hiyo maeneo ya Tabata mwananchi mbele kabla ya kufika kwenye traffic light za external Afisa usafirishaji aliingia mwenyewe mbele ya semi trailer sema bahati yake dereva wa Semi alikuwa mwendo mdogo akafunga break.

Yule ilikuwa afie palepale lakini dereva wa Lori alikuwa smart na maamuzi sahihi Kwa wakati.
 
Back
Top Bottom